Mabasi ya kuja bukoba mbona sio hayo tu ni mengi mbona mfano friends,falcon,mombasa raha,ota,ilyana,fikoshi,nk isitoshe hakuna sababu ya kuwa na mabasi mengi maana meli ikitia nanga tu bukoba inamwaga zaidi ya watu 1500 kutoka mwanza hivyo wengi usafiri hadi mwanza kwa either basi au train na siku kunajengwa meli nyingine kubwa zaidi inayobeba watu 1200 hivi hawa watu moshi kwa siku moja wanaokuja kwa basi ndo maana uwekezaji wa mabasi utapata loss maana wengi uwenda hadi mwanza kwanza na kuja kwa meli au basi ndo maana root ya bk mwanza INA mabasi mengi.pia watu wengi kwa sababu ya sifa na utajiri wao uja kwa ndege hadi bukoba ndo maana safari za ndege kuna bukoba hazikomi na uwanja inapanuliwa zaidi ili ndege kubwa kama fastjet ziweze kutua .hivi unafikiri kwa nini wafanye hivyo ? Kuhusu mji wa bukoba kuwa na majengo yaliozeeka sijui kama unachokisema unakifahamu maana maghorofa siku hizi yanaongezeka kila siku mfano mwaka huu tu maghorofa 20 yameongezeka mjini hasa milimani ukiongeza na ihungo blocks.bahati nzr mji wa moshi nimesomea pale moshi tech ila moshi pamekanda sana mighorofa speed yake sio kama ya bukoba na muingiliano wa watu ni mdogo kulinganisha na arusha na mabasi mengi yaneelekea arusha sio moshi lakini sio mengi kama ya bk mwanza
Sent from my VF685 using
JamiiForums mobile app