Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Mbinu za utajiri ni ubahili. Tunazibana mwaka mzima kisha kipindi hiki tunaenda kuzila huko kwetu
 
Mazee embu anzeni kutupia mipicha jamani... nna mzuka balaa maana nshapata likizo hapa... embu anzeni amsha amsha za picha za misafara nipate nyege na mimi za kuliunga 😀😀😀 raha sana jamani kula nyama ya mbuzi na pilipili ya damu...
 
naam
 
Nimeshasema ukweli na ukweli utasemwa ingawa unauma wachaga let's change
Nimeshasema ukweli na ukweli utasemwa ingawa unauma wachaga let's change
Takwimu za gazeti la Leo hizi hapa
kagera ni ya kumi na KLM ya 9 kwa utajiri achana na takwimu za zamani
wafanyabiashara.wengi ndo wanaokula bata si wafanyakazh
Ndo maana nimekwambia ngeli haipand hapo mwandishi amesema according to latest NBS data alaf wewe unasema ni mawazo ya mwandishi, au NBS huijui mkuu????
hapo anazungumzua mikoa inayoongoza kuchangia pato la taifa na sio mikoa maskini maana mwamza n mkoa wa pili kwa umaskin ijapokuwa n wa pili kuchangia pato la taifa usikariri mkuu kagera still n mkoa wa pili kwa umaskin
 
kuna mtu kapost gazeti hapo kuhusu Gdp
hiyo kwenye gazeti n mikoa inayoongoza kuchangia pato la taifa
na n tofauti kabsa na mikoa maskini/tajiri
kuna tofauti kati ya mikoa maskin/tajiri na gdp
mfano mkoa wa mwanza n wa pili kwa gdp ila n wa pili watu wake kuwa maskini
kilimanjaro ni ya 7 gdp ila n ya pili kwa maisha bora baada ya dar (kwa mujibu wa ripoti ya wizara ya fedha mwaka wa fedha 2017/18) kwahiyo mkuu instanbul na great haya msitake kujificha kwenye shamba la laranga kagera still n mkoa wa 3 kwa umaskini
 
Takwimu za gazeti la Leo hizi hapa
kagera ni ya kumi na KLM ya 9 kwa utajiri achana na takwimu za zamani
hizo n takwimu za mikoa inayochangia pato la taifa na sio mikoa masikini/tajiri
hahaha kagera still n mkoa wa 3 kwa umaskin
 
povu linakutoka ee
unadhan klm kuna vijumba vya nyasi kama huko kwenu kyaka?
wale n akili kubwa ndio maana klm n mkoa wa pili kwa utajiri wakati kgr n ya 3 kwa umaskin
hilo gazeti ulilopost n la kuhusu gdp yaan pato la taifa na sio hali ya umaskin kwa mikoa
niny mmelimbia kuwekeza kwenu mmebali kipigana majungu na vijembe n aibu hadi leo bukoba stand n vumbi aibuu
 
Ukienda uwanja wa ndege wa mwanza na dar es salaam tripu za kwenda Bukoba (Kagera) zimejaaa mpaka tarehe 03/01/2018
utaenda kudanganya wajinga
yaan mkoa wa 3 kwa umaskini mna hela za kupanda ndege? ripoti zinaonyesha uwanja wa bukoba kwa mwaka hata haifikishi abiria 30000 wakt klm uwanja wa kia n abiria 250000 kwa mwaka lakin hawajitambi
nyie n mbwwmbwe za kijinga tu ndio maan mtabak hivyo hivyo
 
Hivi wewe hapo ulipo una chochote mfukoni au unashika pembe tu.
Kazi kusifia wakati we pwagu tu.

Mi siamini mpaka leo kama kuna watu wanakopa ili kuweka heshima kwa ajili ya vyakula na pombe. Kama bado wapo kama hao ndugu zangu basi wewe mleta uzi na wao mtakuwa mnafikiri kwa kutumia makende na Sio vichwa.

Onyesha ufahari mwezi January kwa kulipa ada za watoto January, sio pombe na wanawake kama hao ndugu zako
 
hapo anazungumzua mikoa inayoongoza kuchangia pato la taifa na sio mikoa maskini maana mwamza n mkoa wa pili kwa umaskin ijapokuwa n wa pili kuchangia pato la taifa usikariri mkuu kagera still n mkoa wa pili kwa umaskin
Watu hawaelewi tofauti ya GDP na economic development. Mfano hapo Mwanza kwenye GDP wanaweza kuwa wapo juu lakini kinachowafanya wawe hivo ni migodi ya madini ikiwa na maana thamani ya kinachozaliswa kwenye almasi na dhahabu kwa migodi iliyopo kule ni kubwa ila deep down ukienda kwenye uchumi wa kaya bado wengi hohe hahe.. Hata ukiangalia takwimu za kodi zinakupa picha sahihi kuhusu hili. Sema watu wanakazania tu na magazetu pasipo kuelewa kwa kina
 
Kwa ni kipi kinaufanya kagera uwe wa kumi kwenye GDP?
 
hamna mji umejichokea kama Moshi, ikifika jioni mjini hakuna watu wameshakimbilia migombani kunywa vitochi....hata Njombe kumechangamka kupita Moshi....wachaga ni washamba sana wanajua maisha ni kulewa mapombe tu



Acha uqm
 
Kwa ni kipi kinaufanya kagera uwe wa kumi kwenye GDP?
Jamaa wanafikiri Kagera inategemea watalii ndio iende kiuchumi, kagera hakuna watalii. Lakini katika GDP imesimama na wakati Kilimanjaro kuna Mlima kilimanjaro na mbuga lakini bado makusanyo ya kuishinda kagera kwa vipointi kidogo. Sasa kagera wamepatwa na tetemeko na meli ya Victoria aifanyi kazi. Wasingekuwa na mlima au mbuga wangekuwa wanashika mkia
 
wanajifariji wanadhan hatujui hizi takwimu
 
kagera ina border tatu sio mapato?
hoja yetu hapa sio GDP Bali n mikoa maskini
kagera n mkoa wa 3, kwa umaskini sasa unajificha ktk chaka LA Katanga wakati mgongo unaonekana?
 
kweli we n mwehu
watu wanapiga kaz wanatenga bajeti za matumiz we unasema wanakopa? n MTU gan atakukopesha kila cku?
nyie wavivu wa ikwiriri mtaendelea kubaki maskini na kuoa wanawake wanne wanne tu
ulisikia lini wameshindwa kulipa ada?
 
ndugu zangu wahaya walitaka kupotosha kuhusu GDP na hali ya kiuchumi ya mikoa
baada ya kuwapa ufafanuz murua wamekimbia Uzi huu
narudia tena GDP n tofauti kabisa na hali ya umaskini
mkoa wa mwanza n wa pili kwa GDP ila n wa pili kwa umaskin
klmnjaro n ya 9 GDP ila n ya pili kwa watu wake kuwa na maisha bora
kagera n ya 10 GDP ila n ya 3 kwa umaskin
siku nyingine msije kupotosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…