Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Hahahahahah we jamaa bhana huwa unanifurahisha sana
 
anazungumzia matanuzi sii nauli
ukienda uchagan sasa HIV utaona masherhe ya ma mellion daily

Kaandika hivi


Kaongelea watu kurudi kwao, kamaalitaka kuongelea matanuzi, basi kashindwa kujielezaau wabongo wengi mna namna yenu ya kuelewana wenyewe kwa kusema maneno nusunusu.
 
alafu kuna watu wanatu kusanya kwa jumla kutuunganisha vyuma vimekaza
 
Kaandika hivi



Kaongelea watu kurudi kwao, kamaalitaka kuongelea matanuzi, basi kashindwa kujielezaau wabongo wengi mna namna yenu ya kuelewana wenyewe kwa kusema maneno nusunusu.
anaposema magari ya kifahari na folen kubwa moshi means matnuz
 
anaposema magari ya kifahari na folen kubwa moshi means matnuz
Magari ya kifahari ni tungo tata, mwingine anaweza kuona BMW yangu ni gari la kifahari wakati mimi nimelichoka natafuta Porsche naona Porsche ni gari la kifahari wakati kuna mtu kalichoka Porsche anatafuta Ferrari anaona Ferrari ni gari la kifahari wakati mwingine kalichoka Ferrari anatafuta Rolls Royce anaona hilo ndilo gari la kifahari.

Bongokunawatu wanaona Mark II gari la kifahari.
 

Wiki ijayo natinga Jembe ni Jembe kukausha ATMs zao.

Watanikoma!
 
Wiki ijayo natinga Jembe ni Jembe kukausha ATMs zao.

Watanikoma!
Halafu nasikia una hela za Bitcoin, karibu zinakaribia kushindana na akaunti ya bandari.

Benki ilikuwa na balance sheet, zero zikawa nyingi mpaka ile balance sheet ikawa haitoshi, ikabidi benki ichapishe balance sheet mpya kubwa zaidi kwa sababu ya akaunti yako tu.

Tuhurumie na sisi wengine utubakishie usikaushe ATM kabisa.
 

Hapa namsubiri tu Dinazarde atoke Sengerema aje moja kwa moja hapo JnJ!

We gon’ ring in 2018 in style!
 
chuki za kikabila na kuoneana wivu havikuwahi kuiacha jamii salama !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…