Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Watu walitegemea sana msimu huu wachagga wasingerudi makwao ka ajili ya sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya, kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu kidogo.

Maajabu hadi leo Tarehe 20/12/2017. Mji umeshafurika magari ya kifahari na foleni za barabarani zimeanza jambo ambalo halijazoeleka sana. Inakuwaje aisee au ndio watu wa huku wameshindwa kubanwa vizuri?
Hahahahahah we jamaa bhana huwa unanifurahisha sana
 
anazungumzia matanuzi sii nauli
ukienda uchagan sasa HIV utaona masherhe ya ma mellion daily

Kaandika hivi

Watu walitegemea sana msimu huu wachagga wasingerudi makwao ka ajili ya sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya, kutokana na hali ya uchumi kuwa ngumu kidogo.
Maajabu hadi leo Tarehe 20/12/2017. Mji umeshafurika magari ya kifahari na foleni za barabarani zimeanza jambo ambalo halijazoeleka sana. Inakuwaje aisee au ndio watu wa huku wameshindwa kubanwa vizuri?

Kaongelea watu kurudi kwao, kamaalitaka kuongelea matanuzi, basi kashindwa kujielezaau wabongo wengi mna namna yenu ya kuelewana wenyewe kwa kusema maneno nusunusu.
 
alafu kuna watu wanatu kusanya kwa jumla kutuunganisha vyuma vimekaza
 
Kaandika hivi

Kaongelea watu kurudi kwao, kamaalitaka kuongelea matanuzi, basi kashindwa kujielezaau wabongo wengi mna namna yenu ya kuelewana wenyewe kwa kusema maneno nusunusu.
anaposema magari ya kifahari na folen kubwa moshi means matnuz
 
Magari ya kifahari ni tungo tata, mwingine anaweza kuona BMW yangu ni gari la kifahari wakati mimi nimelichoka natafuta Porsche naona Porsche ni gari la kifahari wakati kuna mtu kalichoka Porsche anatafuta Ferrari anaona Ferrari ni gari la kifahari wakati mwingine kalichoka Ferrari anatafuta Rolls Royce anaona hilo ndilo gari la kifahari.

Bongokunawatu wanaona Mark II gari la kifahari.
 
Wiki ijayo natinga Jembe ni Jembe kukausha ATMs zao.

Watanikoma!
 
Halafu nasikia una hela za Bitcoin, karibu zinakaribia kushindana na akaunti ya bandari.

Benki ilikuwa na balance sheet, zero zikawa nyingi mpaka ile balance sheet ikawa haitoshi, ikabidi benki ichapishe balance sheet mpya kubwa zaidi kwa sababu ya akaunti yako tu.

Tuhurumie na sisi wengine utubakishie usikaushe ATM kabisa.
 
Hapa namsubiri tu Dinazarde atoke Sengerema aje moja kwa moja hapo JnJ!

We gon’ ring in 2018 in style!
 
chuki za kikabila na kuoneana wivu havikuwahi kuiacha jamii salama !!!
 
Back
Top Bottom