Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naamMazee embu anzeni kutupia mipicha jamani... nna mzuka balaa maana nshapata likizo hapa... embu anzeni amsha amsha za picha za misafara nipate nyege na mimi za kuliunga 😀😀😀 raha sana jamani kula nyama ya mbuzi na pilipili ya damu...
Nimeshasema ukweli na ukweli utasemwa ingawa unauma wachaga let's change
Nimeshasema ukweli na ukweli utasemwa ingawa unauma wachaga let's change
Takwimu za gazeti la Leo hizi hapa
kagera ni ya kumi na KLM ya 9 kwa utajiri achana na takwimu za zamani![]()
wafanyabiashara.wengi ndo wanaokula bata si wafanyakazh
hapo anazungumzua mikoa inayoongoza kuchangia pato la taifa na sio mikoa maskini maana mwamza n mkoa wa pili kwa umaskin ijapokuwa n wa pili kuchangia pato la taifa usikariri mkuu kagera still n mkoa wa pili kwa umaskinNdo maana nimekwambia ngeli haipand hapo mwandishi amesema according to latest NBS data alaf wewe unasema ni mawazo ya mwandishi, au NBS huijui mkuu????
hakuna lolote kagera n maskini wa kutisha 60 asilimia nyumba za nyasFuatilia vzr historia ya mkoa huo na wahaya utaamini
hapo n mikoa inayoongoza kwa gdp yaan kuchangia pato la taifa na sio mikoa maskini/tajiriNimekuwekea takwimu za mwaka huu wewe umeleta za mwaka JanaView attachment 653163
hizo n takwimu za mikoa inayochangia pato la taifa na sio mikoa masikini/tajiriTakwimu za gazeti la Leo hizi hapa
kagera ni ya kumi na KLM ya 9 kwa utajiri achana na takwimu za zamani![]()
povu linakutoka eeWachagga wengi kwenye biashara kumewashinda wamebaki kufoji vyeti kuingia katika kazi za serikalini na kufanya wizi. Kwa utawala huu wa sasa ivi lazima wakimbie. Apa kariakoo maduka mengi wamekimbia yamechukuliwa na wakigoma na wakinga. Biashara za wizi wizi, sasa ivi zimekwisha lazma wajipange kisaikolojia. Wanabaki kujifariji Mara hoo Kilimanjaro sijui kumeendelea kerere za chura,
utaenda kudanganya wajingaUkienda uwanja wa ndege wa mwanza na dar es salaam tripu za kwenda Bukoba (Kagera) zimejaaa mpaka tarehe 03/01/2018
Hivi wewe hapo ulipo una chochote mfukoni au unashika pembe tu.Wakuu, Amani iwe nanyi!!
Nimekuwepo Kilimanjaro kuanzia mwanzoni mwa Mwezi huu wa December.
Na bahati nzuri nimeyaona maisha ya kijamii kabisa ya wachagga...
Nchi yetu raia wanalalamika sana kuwa hali ni ngumu kila kona, lakini hawa jamaa wa huku sivyo kabisa, nilitegemea kuona mkwamo wa sherehe msimu huu
Lakini mambo yamekuwa tofauti kabisa, wachagga bado wanafanya masherehe makubwa kabisa, Harusi nyingi zinafanywa kwa sherehe kubwa kubwa kabisa, ubarikio na ubatizo bado vinafanyika kwa masherehe.
Hawa watu wao wanapata wapi pesa za kufanya yote haya tena kipindi hiki! Ambapo kila mtu analalamika pesa haionekani?
Tuseme ndiyo Magu kashindwa kuwabana vizuri hadi wanaendelea na matumizi ya aina hii?
Watu hawaelewi tofauti ya GDP na economic development. Mfano hapo Mwanza kwenye GDP wanaweza kuwa wapo juu lakini kinachowafanya wawe hivo ni migodi ya madini ikiwa na maana thamani ya kinachozaliswa kwenye almasi na dhahabu kwa migodi iliyopo kule ni kubwa ila deep down ukienda kwenye uchumi wa kaya bado wengi hohe hahe.. Hata ukiangalia takwimu za kodi zinakupa picha sahihi kuhusu hili. Sema watu wanakazania tu na magazetu pasipo kuelewa kwa kinahapo anazungumzua mikoa inayoongoza kuchangia pato la taifa na sio mikoa maskini maana mwamza n mkoa wa pili kwa umaskin ijapokuwa n wa pili kuchangia pato la taifa usikariri mkuu kagera still n mkoa wa pili kwa umaskin
Kwa ni kipi kinaufanya kagera uwe wa kumi kwenye GDP?Watu hawaelewi tofauti ya GDP na economic development. Mfano hapo Mwanza kwenye GDP wanaweza kuwa wapo juu lakini kinachowafanya wawe hivo ni migodi ya madini ikiwa na maana thamani ya kinachozaliswa kwenye almasi na dhahabu kwa migodi iliyopo kule ni kubwa ila deep down ukienda kwenye uchumi wa kaya bado wengi hohe hahe.. Hata ukiangalia takwimu za kodi zinakupa picha sahihi kuhusu hili. Sema watu wanakazania tu na magazetu pasipo kuelewa kwa kina
hamna mji umejichokea kama Moshi, ikifika jioni mjini hakuna watu wameshakimbilia migombani kunywa vitochi....hata Njombe kumechangamka kupita Moshi....wachaga ni washamba sana wanajua maisha ni kulewa mapombe tu
Jamaa wanafikiri Kagera inategemea watalii ndio iende kiuchumi, kagera hakuna watalii. Lakini katika GDP imesimama na wakati Kilimanjaro kuna Mlima kilimanjaro na mbuga lakini bado makusanyo ya kuishinda kagera kwa vipointi kidogo. Sasa kagera wamepatwa na tetemeko na meli ya Victoria aifanyi kazi. Wasingekuwa na mlima au mbuga wangekuwa wanashika mkiaKwa ni kipi kinaufanya kagera uwe wa kumi kwenye GDP?
wanajifariji wanadhan hatujui hizi takwimuWatu hawaelewi tofauti ya GDP na economic development. Mfano hapo Mwanza kwenye GDP wanaweza kuwa wapo juu lakini kinachowafanya wawe hivo ni migodi ya madini ikiwa na maana thamani ya kinachozaliswa kwenye almasi na dhahabu kwa migodi iliyopo kule ni kubwa ila deep down ukienda kwenye uchumi wa kaya bado wengi hohe hahe.. Hata ukiangalia takwimu za kodi zinakupa picha sahihi kuhusu hili. Sema watu wanakazania tu na magazetu pasipo kuelewa kwa kina
kagera ina border tatu sio mapato?Jamaa wanafikiri Kagera inategemea watalii ndio iende kiuchumi, kagera hakuna watalii. Lakini katika GDP imesimama na wakati Kilimanjaro kuna Mlima kilimanjaro na mbuga lakini bado makusanyo ya kuishinda kagera kwa vipointi kidogo. Sasa kagera wamepatwa na tetemeko na meli ya Victoria aifanyi kazi. Wasingekuwa na mlima au mbuga wangekuwa wanashika mkia
kweli we n mwehuHivi wewe hapo ulipo una chochote mfukoni au unashika pembe tu.
Kazi kusifia wakati we pwagu tu.
Mi siamini mpaka leo kama kuna watu wanakopa ili kuweka heshima kwa ajili ya vyakula na pombe. Kama bado wapo kama hao ndugu zangu basi wewe mleta uzi na wao mtakuwa mnafikiri kwa kutumia makende na Sio vichwa.
Onyesha ufahari mwezi January kwa kulipa ada za watoto January, sio pombe na wanawake kama hao ndugu zako