Nchi inaingiaje kwenye uchaguzi ambao dola imeamua yenyewe nani agombee nafasi gani na kupitia chama kipi!?
Yaani Mpina, Salumu Mwalimu ndo wawe wapinzani wakubwa?
Ukifuatilia historia ya wametoka wapi na lini mpaka kugombea hizo nafasi unagundua kabsa wamepandikizwa na sisi_M ili baadae waje kutoa ushuhuda kwamba uchaguzi ulikuwa huru na haki ili kudanganya jumuiya za kimataifa.
Kuna mambo 2 nayaona hapa;
1. Sisi_M inataka kupigana na vinyago vyake.
2. Sisi_M inataka kupima ukali wa meno yao kwa kung'ata maini ili wajisifu wana meno imara.
Msimamo: Hakuna haja ya uchaguzi kwa hali ilivyo ni kuharibu hela bure kwan uchaguzi huu hauna tofauti na wa mfumo wa chama kimoja.