Kinachoendelea ndani ya klabu ya Yanga ni huruma

Sasa huruma gani ndo business ya mpira ilivyo unataka wakae yanga hadi viwango vyao vishuke watakuja wengine na wataondoka hakuna jipya hapo
 
Hakuna la ajabu au la kutia huruma hapo. Ndivyo ilivyo biashara ya mpira; wachezaji na benchi la ufundi wanaingia mkataba na timu; wanatumikia mkataba huo. Mkataba ukiisha basi wanaingia mktaba mwingine ama na timu hiyo hiyo au timu nyingine. Iwapo wakipata ofa nono kabla ya mkataba kuisha, basi wanaomba wauzwe. Tatizo ni pale mtu anapoamka tu na kusema hana raha kwa hiyo anataka mkataba uvunjwe bila kufuata taratibu zilizopo. Wachezaji ambao bado wana mkataba na Yanga watakoiondoka na Nabi basi wote watakuwa wameuzwa.
 
hakuna shida timu inayomtaka ije mezani tumuuze
 
kaze anaongea kiarabu?
 
Nnachojua mimi kocha huwa anawachezaji wake na benchi la ufundi ambalo akisepa huwa anataka kusepa nalo,ni kawaida sana..msishangae bangala mayele na hata djuma wakatua kaizer na nabi
 
Unajiskiaje huko ulipo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
bado una la kusema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…