SubiriJibu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 1,805
- 1,876
Ghafla kumekuwa na wema kila kona. Siyo mahakamani, siyo majukwaani, Siyo makanisani kwa ujumla hizi wiki tatu ninaziita kisiwa cha amani.
Sasa ni wema na kauli za wema na hotuba za ukarimu. Lakini kwa nini wema huu uje ghafla hizi wiki tatu.
Hongereni JF mmejiuliza wengi kwa namna mbalimbali na wengine hatukusema mengine ili tuone watanzania wasivyo wajinga. Ni kweli watanzania siyo wajinga.
Wiki nne zilizopita jamaa yetu tukiwa katika soga tunakunywa beer alileta tetesi ambazo hatukumwamini akisema kwamba AMNESTY INTERNATIONAL wana mpango wa kutembelea nchi kadhaa. Binafsi sikumwamini lakini nikaweza kichwani tarehe ya alichokisema.
Haikupita wiki nikaanza kuona mabadiliko tena huu wema wa ghafla. Hata kauli ya sisi watanzania si wajinga mmeijadili ndani ya wiki hizi nne maana nina kumbukumbu ya siku tuliyokunywa beer na jamaa yule.
Hivyo, hukumu ya Mbowe na wenzake sikuwa na mashaka nilijua atatoka tu kama tetesi zile ni sahihi. Ambacho sikujua ni suala la Suzan Kiwanga na Peter Lijualikali.
Hii maana yake kama jamaa yetu alikuwa sahihi basi hao AMNESTY INTERNATIONAL watafika wanasiasa wote walioko ndani kesi zao zitakuwa na nafuu kama ilivotokea leo. AMNESTY INTERNATIONAL watakua nchi iko katika wema na kauli za wema kila kona.
Sasa nimesikia askari watatoa tamko la kutekwa Mo ndani ya siku tatu.
Nimebaki napagawa. Je jamaa yangu alikuwa sahihi kuhusu AMNESTY INTERNATIONAL. Kama hayuko sahihi ni tetesi zake tu hebu saidieni kuniondoa giza la wema huu wa ghafla.
Cc:
Zitto