Tetesi: Kinachoendelea ni dalili za kuwasili AMNESTY INTERNATIONAL

Ghafla kumekuwa na wema kila kona. Siyo mahakamani, siyo majukwaani, Siyo makanisani kwa ujumla hizi wiki tatu ninaziita kisiwa cha amani.

Sasa ni wema na kauli za wema na hotuba za ukarimu. Lakini kwa nini wema huu uje ghafla hizi wiki tatu.

Hongereni JF mmejiuliza wengi kwa namna mbalimbali na wengine hatukusema mengine ili tuone watanzania wasivyo wajinga. Ni kweli watanzania siyo wajinga.

Wiki nne zilizopita jamaa yetu tukiwa katika soga tunakunywa beer alileta tetesi ambazo hatukumwamini akisema kwamba AMNESTY INTERNATIONAL wana mpango wa kutembelea nchi kadhaa. Binafsi sikumwamini lakini nikaweza kichwani tarehe ya alichokisema.

Haikupita wiki nikaanza kuona mabadiliko tena huu wema wa ghafla. Hata kauli ya sisi watanzania si wajinga mmeijadili ndani ya wiki hizi nne maana nina kumbukumbu ya siku tuliyokunywa beer na jamaa yule.

Hivyo, hukumu ya Mbowe na wenzake sikuwa na mashaka nilijua atatoka tu kama tetesi zile ni sahihi. Ambacho sikujua ni suala la Suzan Kiwanga na Peter Lijualikali.

Hii maana yake kama jamaa yetu alikuwa sahihi basi hao AMNESTY INTERNATIONAL watafika wanasiasa wote walioko ndani kesi zao zitakuwa na nafuu kama ilivotokea leo. AMNESTY INTERNATIONAL watakua nchi iko katika wema na kauli za wema kila kona.

Sasa nimesikia askari watatoa tamko la kutekwa Mo ndani ya siku tatu.

Nimebaki napagawa. Je jamaa yangu alikuwa sahihi kuhusu AMNESTY INTERNATIONAL. Kama hayuko sahihi ni tetesi zake tu hebu saidieni kuniondoa giza la wema huu wa ghafla.

Cc:
Zitto
Hivi vitaifa vyetu vinajidai vilipata Uhuru vinajitawala. Lakini matendo yao yanaonyesha wazi jinsi wanavyo waogopa hao wazungu kuliko hata Mungu.
Wanaweza kuonea raia zao tu. Lakini wakija watasha, wanashika adabu. Wale ndio bAba la baba zao. Daadeki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkipigwa mmeonewa mkiachiwa mmeogopwa aise ila nchi ilikuwa imechakaa kiana

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Nachofurahi anko magu ye ni kuwavalia tinted tu,no kucheka na mapimbi.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Hata madeni ya watumishi wa umma kashindwa kulipa
jamaa alikua anatamba kuwa kuna pesa nyingi zikihamishiwa vote 20 sasa wahisani wamekata jamaa kila siku kukopa tu karibu atashindwa kulipa mishahara maana ameisha anza kushindwa kulipa madeni amekua mdaiwa sugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,
Mimi siyo unaowasema, nimeleta tetesi za mtaani na hata mimi sina hakika kama ni kweli au la.

Kama tunapigwa na kuonewa basi AMNESTY INTERNATIONAL wana haki ya kuja.

Hata kitendo cha kukalishwa mahabusu kwa miezi minne wanatakiwakukichukua kama evidence.

Mi naona waje tu.
 
Kunyimwa misaada ni kipigo cha nguvu kushinda AMNESTY INTERNATIONAL usifanye masihara na njaa utanyosha mikono juu mwenyewe......
Nchi imeshaacha njia kitambo kilichobaki ni propaganda za uchumi kukua na miradi ya kuokoteza ilimradi aonekane nae ni Raisi
kweli sikio la kufa halinaga dawa…kama mnaona hapa mnakosa haki hameni nchi!
 
Mkuu njoo huku ushuhudie matokeo ya Uzi wako.

Wameshatoa ripoti wahanga wanatapatapa eti kujibu .
 
Ghafla kumekuwa na wema kila kona. Siyo mahakamani, siyo majukwaani, Siyo makanisani kwa ujumla hizi wiki tatu ninaziita kisiwa cha amani.

Sasa ni wema na kauli za wema na hotuba za ukarimu. Lakini kwa nini wema huu uje ghafla hizi wiki tatu.

Hongereni JF mmejiuliza wengi kwa namna mbalimbali na wengine hatukusema mengine ili tuone watanzania wasivyo wajinga. Ni kweli watanzania siyo wajinga.

Wiki nne zilizopita jamaa yetu tukiwa katika soga tunakunywa beer alileta tetesi ambazo hatukumwamini akisema kwamba AMNESTY INTERNATIONAL wana mpango wa kutembelea nchi kadhaa. Binafsi sikumwamini lakini nikaweza kichwani tarehe ya alichokisema.

Haikupita wiki nikaanza kuona mabadiliko tena huu wema wa ghafla. Hata kauli ya sisi watanzania si wajinga mmeijadili ndani ya wiki hizi nne maana nina kumbukumbu ya siku tuliyokunywa beer na jamaa yule.

Hivyo, hukumu ya Mbowe na wenzake sikuwa na mashaka nilijua atatoka tu kama tetesi zile ni sahihi. Ambacho sikujua ni suala la Suzan Kiwanga na Peter Lijualikali.

Hii maana yake kama jamaa yetu alikuwa sahihi basi hao AMNESTY INTERNATIONAL watafika wanasiasa wote walioko ndani kesi zao zitakuwa na nafuu kama ilivotokea leo. AMNESTY INTERNATIONAL watakua nchi iko katika wema na kauli za wema kila kona.

Sasa nimesikia askari watatoa tamko la kutekwa Mo ndani ya siku tatu.

Nimebaki napagawa. Je jamaa yangu alikuwa sahihi kuhusu AMNESTY INTERNATIONAL. Kama hayuko sahihi ni tetesi zake tu hebu saidieni kuniondoa giza la wema huu wa ghafla.

Cc:
Zitto
Serikali yz CCM huwa inawasikiliza wananchi wake.
 
Unaamini AMMESTY hawana watu hapa toka zamani? Hivi akili zenu sìjui aliwarithisha nani.
 
Back
Top Bottom