Kinachoendelea ni maana halisi ya Uhuru WA kutoa Maoni

Kutoa maoni tu bila kuchukulia hatua ni sawa na Report ya CAG ambayo inaonesha madudu kila mara lakini hatua hazichukuliwi
 
Mkuu nimekuelewa sana. Kuna watu wanachukulia mambo ya mkataba huu kusainiwa na Samia ni udhaifu wa Samia kama Rais.

Kuna mambo alifanya Magufuli makubwa sana bila kushirikisha mtu lakini hakuna sisimizi yeyote aliyediriki kum criticise DIKTETA wa Chato. Mfano ni Yap Merkezi kupewa zabuni ya SGR, Arab Contractors kupewa zabuni ya bwawa la JHEPP, kukata miti ya Selous game reserve. Pia kununua ndege za ATCL bila zabuni, kujenga Airport Chato nje ya mipango na bila idhini ya bunge.

Asante Samia kwa kutupa demikrasia na uhuru wa maoni
 

Yeah. Ni Kweli Kabisa.
 

Udini, ukabila na utaifa + ubaguzi ni gonjwa baya sana, unawasumbua sana baadhi ya watanzania, especially mwarabu akipewa inakua kelele mwanzo mwisho, na inasemekana kuna wakenya pia wanaingia mitandaoni kupinga suala hili ili waharibu tu, Mwenyezi Mungu ndie anajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…