Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
Katika mwezi huu wa Ramadhani, na katika kumi hili la mwisho
Ghafla vyanzo mbalimabali vya habari na mitandao vimekuwa vikirusha taarifa za Israel kufanya tena mashambulizi dhidi ya Palestina
Nadhani wengi wetu tumelisikia (tumelishuhudia) hili kwenye mitandao yetu, kwa namna moja au nyingine.
Binafsi clip ya kwanza kuhusu mashambulizi haya ya Maboom nliiona jinsi.
Shambulizi zilivyoelekezwa katika msikiti mtukufu wa Aqsa.
Kwa mtazamo wa kawaida tu na mauwaji ya Raia wasio hatia, watoto na wengineo .
SI WAISLAMU TU ULIMWENGUNI WALIIPASWA KULAANI , baali dunia nzima kwa ujumla.
Kama tulivyoolaani mauwaji ya Mtu mweusi kule marekani , Vivyo hivyo wanaoteketea na kuangamia pale gaza kwa uhaini huu wa Israel ni Watu wasio na Hatia hata kama taifa lao (paleatina) limejawa na waislamu.
WHO CARES???
LETS PRAY FOR PALESTINE 🙏