Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manka hii ni dunia ya digitali!unaupinga nyuma ya keybaord siyo?
bac sawa mambo yatakaa sawaManka hii ni dunia ya digitali!
Hivi unafahamu chanzo cha kadhia hii inayoendelea hivi sasa?!Kwann palestina wamewachokoza Israel wakijua hawana kitu
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
waislam si tupo wengi, kwanini tuombe usaidizi kwa makafiri.Katika mwezi huu wa Ramadhani, na katika kumi hili la mwisho
Ghafla vyanzo mbalimabali vya habari na mitandao vimekuwa vikirusha taarifa za Israel kufanya tena mashambulizi dhidi ya Palestina
Nadhani wengi wetu tumelisikia (tumelishuhudia) hili kwenye mitandao yetu, kwa namna moja au nyingine.
Binafsi clip ya kwanza kuhusu mashambulizi haya ya Maboom nliiona jinsi.
Shambulizi zilivyoelekezwa katika msikiti mtukufu wa Aqsa.
Kwa mtazamo wa kawaida tu na mauwaji ya Raia wasio hatia, watoto na wengineo .
SI WAISLAMU TU ULIMWENGUNI WALIIPASWA KULAANI , baali dunia nzima kwa ujumla.
Kama tulivyoolaani mauwaji ya Mtu mweusi kule marekani , Vivyo hivyo wanaoteketea na kuangamia pale gaza kwa uhaini huu wa Israel ni Watu wasio na Hatia hata kama taifa lao (paleatina) limejawa na waislamu.
WHO CARES???
LETS PRAY FOR PALESTINE 🙏
Wengi waisraeli sio wakristo,Wana dini yao ya kiyahudi wao pia ni wapinga kristousiombe uo mzozo uishe mapema hata kidgo maana biblia inasema vita dhidi ya Israel itapoisha kutatokea njaa kali dunia yote kwa mda wa miaka kadhaa baadae mpinga kristo ataishika dunia kwa kuwapa watu chakula kwa kuwachapa alama ya 666....
Wapalestine kuuwawa kwao ni jambo la kawaida la kila siku wafanye hicho kinachoitwa uchokozi au wasifanye kwao ni kawaida kuuwawa vinginevyo itakua si mfuatiliaji mzuri wa habari za kimataifa.kipigo kinazidi mara dufu pale wanapo react kama inavyoendelea hivi sasaKwa Jf am sure utawapata wapumbavu wakuunge mkono... maana game yako ipo upande mmoja inamaana Israel kaamua tu kuwaua Wapalestina waliokuwa wametulia bila hata uchokozi????? Pumbavu kweli wewe...
Mungu awabariki kweli,kwa kumuita Yesu ni mtoto wa nje ya ndoa,na pia kumpa mateso msalabani.Ikiwa Yesu walimsulubisha,(Qur'an imekataa hili,na kumsafisha Yesu,kuwa ni mtoto halali wa Maryam).MUNGU IBARIKI ISRAEL , MUNGU WABARIKI WAYAHUDI
si ndiyo hawa hawa machotara ndugu zenu hawawataki.Siyo Israel tu hata Msumbiji, Nigeria, Sudan, Somalia n.k
Mbona hamkemei kuhusu Boko Haram, Islamic state (Msumbiji), Al shabab, ISIS na makundi mengine ya kiislam yanayofanya mauaji?
una akili sana tena mnooo!! wee kijana.Sisi hatuwezi kuwa kimbelembele wakati mataifa tajiri ya kiaarabu ya kislamu yamerejesha uhusiano na Israel katika nyanja zote mpaka za usalama.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Umekosea Mkuu hapo kati jiwe alikufa kwa Atrial fibrillation.Kikwazo hapo Ni ccm.
Hawa watu wameweka mizizi Kila mahali, Ndugai anachambia katiba kimya, sabaya anapora watu akiwa na bunduki na mapanga, jiwe a.k.a meko anateka na kuua watu(....ooh sorry kumbe huyu ameshakufa na Corona), bashiru ananunua binadamu waunge mkono juhudi(...oh sorry kumbe huyu alishatumbuliwa kwa wizi na ujambazi wa fedha za umma), Bashite anateka watu,Musiba analeta itikadi za kishoga, ameanza kujiita Veronica France...Yani mpaka mashariki ya Kati wameenda kuleta mzozo, Hawa ccm Ni magaidi
Mi nadhani wa kulaumiwa hapa ni baba mwenye nyumba.Katika mwezi huu wa Ramadhani, na katika kumi hili la mwisho
Ghafla vyanzo mbalimabali vya habari na mitandao vimekuwa vikirusha taarifa za Israel kufanya tena mashambulizi dhidi ya Palestina
Nadhani wengi wetu tumelisikia (tumelishuhudia) hili kwenye mitandao yetu, kwa namna moja au nyingine.
Binafsi clip ya kwanza kuhusu mashambulizi haya ya Maboom nliiona jinsi.
Shambulizi zilivyoelekezwa katika msikiti mtukufu wa Aqsa.
Kwa mtazamo wa kawaida tu na mauwaji ya Raia wasio hatia, watoto na wengineo .
SI WAISLAMU TU ULIMWENGUNI WALIIPASWA KULAANI , baali dunia nzima kwa ujumla.
Kama tulivyoolaani mauwaji ya Mtu mweusi kule marekani , Vivyo hivyo wanaoteketea na kuangamia pale gaza kwa uhaini huu wa Israel ni Watu wasio na Hatia hata kama taifa lao (paleatina) limejawa na waislamu.
WHO CARES???
LETS PRAY FOR PALESTINE 🙏
ndo ujue malipo ni hapa hapa Duniani.Ndio maana Pentagon wanatuma msaada wa fedha na silaha za kivita zenye thamani ya billions of dollars kila mwaka kwenda Tel Aviv.
Wazungu wamejaa sana Israel.
Walipaswa waanze kuacha unyama hawa Wafilisti MagaidiNi hatari kwa kweli!
Tuupinge huu unyama tuupinge kwa nguvu zote!
Waislam wa sehemu hizo wana asili ya Ugaidi kwenye damu zaoSiyo Israel tu hata Msumbiji, Nigeria, Sudan, Somalia n.k
Mbona hamkemei kuhusu Boko Haram, Islamic state (Msumbiji), Al shabab, ISIS na makundi mengine ya kiislam yanayofanya mauaji?
Jiulize nawewe MkuuKwani Hamas wanaporusha makombora kwenda upande Israel hakuna madhara yanayotokea?,au kule yanaishi mawe?
Ila ile ng'ombe ilikonda jamani, mpaka ikikaa kwa kiti vile vipaja vyake vinakuwa kama vya njiwa loh roho mbaya nimeamini inamkondesha mtu, pamoja na kutuibia 1.5Trillion lakini haikumsaidia kula nyama choma na bia anenepe, kafa sisi ndo tunakula nyama yaniUmekosea Mkuu hapo kati jiwe alikufa kwa Atrial fibrillation.
Walisema hana corona, sasa sijui waliipimaje na vipimio walivikataa....
Daaa watu wamevurugwa humu sio bureAlaaniwe Ndugai katika hili,
Vp Kama Jiwe angefufuka afu akagundua alikufa kwa Corona, angewachukuliaje watu wasiovaa barakoa? Hivii mtu akimsogelea si angemuua? Unaingia ikulu hujanawa mikono angekuvunja meno,