The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Wanaogopa watakosa mibarakaYani hawa Waarabu ni watu wa ajabu mwenzao anakaliwa kimabavu toka 1948 badala waji organise na kupaza sauti wenyewe wapi tu.yaani waarabu na Waafrika sijui tuna laana gani?
Hi i ni dunia ya digital bwashee!Bwashee kuupinga kwenye keyboard inasaidia nini sasa? Kama kweli unapinga chukua hatua,achana na kupingia kwenye keyboard
Yani hawa Waarabu ni watu wa ajabu mwenzao anakaliwa kimabavu toka 1948 badala waji organise na kupaza sauti wenyewe wapi tu.yaani waarabu na Waafrika sijui tuna laana gani?
Kwa hiyo udigital huu una msaada gani kwa Palestina bwashee?Hi i ni dunia ya digital bwashee!
Ni kiroho zaidi bwashee!Kwa hiyo udigital huu una msaada gani kwa Palestina bwashee?
kwa mitizamo hii ndio maana kuna vifo vya wasio na hatia vinaendelea.Toka gizani wewe Hamna Ndugu hapo Waisraeli waliopo hapo ni whites a.k.a wazungu,Wapalestina wao wana asili ya kiarabu sasa hapo undugu upo wapi??
Hapo wanapigana wazungu na waarabu,upon Dunia ya ngapi babu??
Hawana tofauti na ccm kwa Tanzania.Waisrael ni wauaji halafu utawasikia wapuuzi wakiwaita eti ni Taifa TEULE!
Kikwazo hapo Ni ccm.Yani hawa Waarabu ni watu wa ajabu mwenzao anakaliwa kimabavu toka 1948 badala waji organise na kupaza sauti wenyewe wapi tu.yaani waarabu na Waafrika sijui tuna laana gani?
Sie tuna shida zetu,bado Nina hasira na Benz la Mwinyi,harafu wazee wetu wakarudi nyumbani bila hata shilingi.Katika mwezi huu wa Ramadhani, na katika kumi hili la mwisho
Ghafla vyanzo mbalimabali vya habari na mitandao vimekuwa vikirusha taarifa za Israel kufanya tena mashambulizi dhidi ya Palestina
Nadhani wengi wetu tumelisikia (tumelishuhudia) hili kwenye mitandao yetu, kwa namna moja au nyingine.
Binafsi clip ya kwanza kuhusu mashambulizi haya ya Maboom nliiona jinsi.
Shambulizi zilivyoelekezwa katika msikiti mtukufu wa Aqsa.
Kwa mtazamo wa kawaida tu na mauwaji ya Raia wasio hatia, watoto na wengineo .
SI WAISLAMU TU ULIMWENGUNI WALIIPASWA KULAANI , baali dunia nzima kwa ujumla.
Kama tulivyoolaani mauwaji ya Mtu mweusi kule marekani , Vivyo hivyo wanaoteketea na kuangamia pale gaza kwa uhaini huu wa Israel ni Watu wasio na Hatia hata kama taifa lao (paleatina) limejawa na waislamu.
View attachment 1782175
WHO CARES???
View attachment 1782173
LETS PRAY FOR PALESTINE [emoji120]
Mkuu, mgogoro wa Israel na Palestine ndio kipimo kikubwa cha unafiki wa baraza kuu la usalama la umoja wa mataifa (UNSC)sijui hata kwanini umetaja waislamu hapa ukijaribu kujenga hoja.ni kama upo kwenye hilo koti unalolizungumzia lakini unajaribu kutoka.
harakati zozote zikihusisha damu za watu tayari zinakosa uhalali kabisa.binafsi nashindwa kuelewa hawa ndugu wawili wana shida gani,mpaka kuuana miaka nenda rudi bila kujali.
dunia haina maana kabisa sehemu nyingine.
wewe tu ndo ndo uongei na hao bokoharam wanaua watu wote hamna cha mkristo wala muislam labda ungeniambia wananua wakristo tuSiyo Israel tu hata Msumbiji, Nigeria, Sudan, Somalia n.k
Mbona hamkemei kuhusu Boko Haram, Islamic state (Msumbiji), Al shabab, ISIS na makundi mengine ya kiislam yanayofanya mauaji?
Dunia ni moja mkuu ndio maana misaada inatoka USAID na kuja Tanzania. Siwezi nikapingana na wewe kwamba sisi waafrika si ndugu, lakini je tunapendana sisi kwa sisi?Mimi nadhani uko haiutuusu mbona ndugu zetu wa damu weusi wenzetu wa Congo wanakufa kila siku mjawai lalamika huo ni unafiki.tumalize ya kwetu africa kwanza.
Sent from my TECNO K8 using JamiiForums mobile app
Waarabu (Islamic World/Community) hapo mashariki ya kati yenyewe imegawanyika sana mkuu. Kuna mataifa ya kiarabu ni maadui kama vile Saudi Arabia na Qatar.Yani hawa Waarabu ni watu wa ajabu mwenzao anakaliwa kimabavu toka 1948 badala waji organise na kupaza sauti wenyewe wapi tu.yaani waarabu na Waafrika sijui tuna laana gani?
Syria na Iran wanajitahidi sana kutuma silaha kwa Hamas na Hezbollah lakini nyingi ni za kizamani na nyingine jeshi la maji la Israel wanazikamata mapema.Palestina nao wanajibebisha sn wanatakiwa kuomba hata misaada ili wajiandae kivita.
Watasumbuka sn na hao vichwa imara.
Inakuaje mtu yle yle ankusumbua seem ileile kila mda. Anakuzoea mwisho anakuoa
The mighty Israel inatumia nguvu kubwa sana kupamba na ill-equipped HamasJuzi ISIS imechinja watu mmekaa kimya.
ISRAEL HAS THE RIGHT TO DEFEND HERSELF!
Ndio maana Pentagon wanatuma msaada wa fedha na silaha za kivita zenye thamani ya billions of dollars kila mwaka kwenda Tel Aviv.Toka gizani wewe Hamna Ndugu hapo Waisraeli waliopo hapo ni whites a.k.a wazungu,Wapalestina wao wana asili ya kiarabu sasa hapo undugu upo wapi??
Hapo wanapigana wazungu na waarabu,upon Dunia ya ngapi babu??
Kwani israel inauwa waislam au waparestina? Target yao ni kundi gani apo?wewe tu ndo ndo uongei na hao bokoharam wanaua watu wote hamna cha mkristo wala muislam labda ungeniambia wananua wakristo tu
Acha utoto.