DAN LOKOMOTIVE
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,528
- 1,955
mbona mpinga kristo ni hao hao waisraealiusiombe uo mzozo uishe mapema hata kidgo maana biblia inasema vita dhidi ya Israel itapoisha kutatokea njaa kali dunia yote kwa mda wa miaka kadhaa baadae mpinga kristo ataishika dunia kwa kuwapa watu chakula kwa kuwachapa alama ya 666....
Akikujibu nishtue.Siyo Israel tu hata Msumbiji, Nigeria, Sudan, Somalia n.k
Mbona hamkemei kuhusu Boko Haram, Islamic state (Msumbiji), Al shabab, ISIS na makundi mengine ya kiislam yanayofanya mauaji?
HAMAS wamekutana na chizi zaidi yao.Hamas wanawacost wananchi...
Wasipotulia mazito zaidi ya haya yatafuata....
Sad indeed
Ngoja wachapike aisee kwa sababu nao ni watu hatari sana aisee. Watu wameisha sahau walivyokuwa wanachinja watu.Palestina nao wanajibebisha sn wanatakiwa kuomba hata misaada ili wajiandae kivita.
Watasumbuka sn na hao vichwa imara.
Inakuaje mtu yle yle ankusumbua seem ileile kila mda. Anakuzoea mwisho anakuoa
Nawasapoti sana wana wa Israel kwa kuwa wajanja katika hilo.Syria na Iran wanajitahidi sana kutuma silaha kwa Hamas na Hezbollah lakini nyingi ni za kizamani na nyingine jeshi la maji la Israel wanazikamata mapema.
Wapelestina(Muslims) ni watu hatari sema wameshikwa pabaya.The mighty Israel inatumia nguvu kubwa sana kupamba na ill-equipped Hamas
If it happens as you said, I will be really grateful for that.Its is a chance for Israel kuwaeliminate Hamas kabisa
Ndiyo maana kule Hamas tunawatandika ipasavyo kwa sababu mu wajinga sana.waislam si tupo wengi, kwanini tuombe usaidizi kwa makafiri.
Ubaya wao ni upi mkuu?Wapelestina(Muslims) ni watu hatari sema wameshikwa pabaya.
Pumbaf, sasa sisi tunandaa manati zetu, tutapambana nanyiNdiyo maana kule Hamas tunawatandika ipasavyo kwa sababu mu wajinga sana.
Ni Magaidi na wauajiUbaya wao ni upi mkuu?
palestina taifa lililokataliwa.Waisrael afadhali kidogo wanalenga wanajeshi ingawa kuna raia wanadhurika lakini wqpalestina wao wanalenga raia kwa sababu wanarusha makombora kwenye miji ya watu.
Ni vyema wote waache mapambano na sio kusema tumlaani Israel kisa analinda raia wake.
Hapa najadili.mauaji yasiyo na hatiapalestina taifa lililokataliwa.