Mawimba
Senior Member
- Apr 29, 2013
- 155
- 159
Habarini wanajamvi!
Kwa wale waliguswa na msiba poleni.
Niliwachoshe naomba nieleweshwe kwa swali langu hili.
Kwenye pombe hizi kali (Konyagi, K Vant, Vodka nk) kuna utofauti wa ujazo lakini kiwango cha kilevi kinakuwa sawa lakini zinatofautiana ulewaji kwa mtumiaji.
Mtumiaji akinywa kinywaji chenye ujazo mdogo anaweza asilewe sana ila mtumiaji huyu akitumia kinywaji chenye ujazo mkubwa analewa zaidi aliyakuwa kiwango cha kilevi ni sawa.
Naomba kuelimishwa