Kinachofanya usimkamate mwenza wako aki-cheat (mwanamke) wanaume tunajua mipaka yetu.

Kinachofanya usimkamate mwenza wako aki-cheat (mwanamke) wanaume tunajua mipaka yetu.

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
34,954
Reaction score
80,256
Kila jinsia inacheat. Iwe wanaume au wanawake. Hii mentality ya kudhani wanaume ndiyo wanacheat saana ni uongo.

Kama wanaume ndiyo wanacheat saana, Je wanacheat na kina nani? Kwamba hawana wapenzi wanaocheat nao.

Mfano: Mwanaume aliyeoa akiwa anacheat na mwanamke. Huyo mwanamke atataka mke wa mume ajue ili tu amkomeshe. Wanawake wanaingia kwenye mahusiano kwa sababu nyingi na mojawapo ni kutaka kujulikana yeye ndiye yeye... na atatumia nguvu nyingi kuutangazia ulimwengu.

Mfano: mwanamke aliyeolewa akiwa anacheat na mwanaume huyu mwanaume hutaskia akipiga simu mara kwa mara au kutuma messages kumnag mwanamke.

Na ndiyo maana muda mwingi wanaokamatwa wanacheat ni wanaume kwasababu ya [nagging] ya mwanamke wanayecheat naye.
 
Oya
1746871033906.jpg
 
Acheat ila usijue.
Wee ata ukijua shida iko wapi...bwana hamna mbususu yako peke yako.
Wee ukijua sii unamwam ia wife ebu mualike jamaa tupige 3some moja matata uenjoy. Akikataa 3some sasa huyo fukuza hapo aende kwao
 
Huo ni uwongo akili yako ikiwa inawaza ngono labla.
Sasa wee mwanamke unaye gegeta weye peke sii maana yake sio mzuri🤣🤣🤣🤣
Mwanamke mzuri atacheat tuu na hapo sasa ndio anakuwa mtamu maana analeta style mupya mupya.

Alafu nyie kenge msituletee ujinga hapa. Wengi wenu tukiwaambia tufa ye dna za watoto wetu mtakufa na presha. So muhimu warembo tupe i mbususu kucheat hayo tunaita mapungufu ya kibinadamu.
 
Unajua ukishakuwa mlevi wa ngono hiyo comment yangu huwezi elewa mkuu kuna ndoa au mahusiano yametulia nikimaanisha hakuna Usaliti kati yao.😁😁😁kama hutaki kukubali ukweli huu ni juu yako mkuu.
 
Unajua ukishakuwa mlevi wa ngono hiyo comment yangu huwezi elewa mkuu kuna ndoa au mahusiano yametulia nikimaanisha hakuna Usaliti kati yao.😁😁😁kama hutaki kukubali ukweli huu ni juu yako mkuu.
Mie sijakataaa zipo hizo ndoa ila sasa katika ndoa 1000 ni 1 tuu ndio pande zote mbili yaani mume na mke hamna kucheat. Sasa exceptions will always be there but u cant make decisions on exceptions. Tunaangalia wat is common. Na pia the popularity of a certain practice does not necessarily make it right.

So mie naenda na probability ya 0.999 ya cheating kutokea. Wewe ambaye u feel u r one of the select few ninda na hiyo probability ya 0.0001
 
Back
Top Bottom