Mwanajanvi jifunze kutafuta taarifa sahihi, na kwa watu sahihi.
The gullible nature ya Watanzania ndiyo inayowaweka kwenye shida mara zote. Tunasukumwa kwenye kufanya investments kubwa kwa hisia.
Maeneo mengi sana ambayo watu wamenunua na sio salama yameuzwa na wenyeji.
Nyumba ya familia ikiuzwa kinyume na makubaliano ya familia mara nyingi anayekuwa ameuza ni mwanafamilia ..sembuse Ardhi ambayo wewe hata kuhoji uhalali wake haufanyi unakimbilia kulaumu?!
Wananchi wmakwisha kujua kuwacjomatisha wananchi wenzao na serikali au na watu binafsi.. laba uwe mgeni kwenye ununuzi wa Ardhi... Migogoro mingi inafanywa na matapeli wanaojiita wazawa.
Huku mjini mtu akitapeliwa kiwanja au Mali yoyote ile akiuziwa na ikawa ya wizi mara zote mhusika(mtapeliwa) kumdai aliyeuza. Ambayo ndio mantiki hata kisheria..
Mbona kwenye hili wavamizi na wahanga wao mnajipanga kuichafua serikali?! Kwann usikamate aliyekuuzia?! Alipe gharama zote?!
Kidimu ni Shamba la mifugo la serikali tangu miaka ya 70, kutokana na kuvamiwa na kupunguziwa kila siku kuaccomodate hizi shida mwisho wakalichoka wakaipatia Halmashauri ipime..
Initially ilikuwa halmashauri wavunje wapange na kupima ili kutoka access kwa wananchi upstanding kununua Ardhi. Mwisho kwa sababu ya Siasa wakakubali kupima kama walivyo.. na bei wakashusha ...
Na hapa tuko nje tunaiangalia serikali maana tunakokwenda tutakuwa hatununui Ardhi Tena, haiwezekani mnavamia mnauziwa kwa 1500 kwa mita mraba halafu sisi upstanding citizen ambao hatuipi serikali shida tunauziwa kwa 6000, ni kama serikali inadekeza wahalifu halafu inawaadhibu wananchi watunza sheria.
Wait until iwe kazi ya kunyang'anyana na hizi.propaganda zenu