Kinachofanyika kituo cha Afya Bweri cha serikali(musoma mjini) ni uvunjaji wa sera ya Afya kwa watoto,wajawazito na wazee

Kinachofanyika kituo cha Afya Bweri cha serikali(musoma mjini) ni uvunjaji wa sera ya Afya kwa watoto,wajawazito na wazee

Ba Liz

Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
58
Reaction score
8
Kulingana na Sera ya wizara ya afya juu ya matibabu ya wazee,watoto na wajawazito kutibiwa bure,,lakini katika hiki kituo imekua balaa watoto chini ya miaka mitano hulipia bila hela ahudumiwi au mpaka ukanunue gloves ndo unahudumiwa, Sio hvo tu isitoshe wajawazito kujifungua huambiwa waandae elfu sabini.. kivipi??kwan kituo hakipati gawiwo La fedha kwa ajili ya kundi hilo LA msamaha?? je kituo hakipati dawa kutoka msd??Tafadhali DMO,RMO fatilieni hili mtalibaini..
 
Hali Ngumu, Dawa hakuna, vifaa tiba hakuna, watumishi stress tu. Pole mkuu
 
Huko MSD unafikifi kuna dawa,changia gharama ili huduma iwe endelevu.
 
Huko MSD unafikifi kuna dawa,changia gharama ili huduma iwe endelevu.
Mbona kundi hilo LA msamaha mikoa mingine tunawatibu bure wala hawachangii??hasa watoto below 5 years,wazee wasiojiweza na wajawazito,,
 
Back
Top Bottom