Kinachofanyika kwenye kutekwa, kupotezwa au kuuawa bila kujulikana kwa watu popote ulimwenguni

Kinachofanyika kwenye kutekwa, kupotezwa au kuuawa bila kujulikana kwa watu popote ulimwenguni

nditolo

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
3,731
Reaction score
4,271
Habarini wanajamvi,

Najua baadhi yenu mmewahi kutamani kuingia Jeshini (JWTZ) au Usalama wa Taifa (TISS)

Sasa kuna operation zipo mbili ambazo nafikiri zikifanyika au zinafanyika bila umakini zinaustua uma ambazo ni:-

1. Clandestine na
2. Infiltration

Nitazieleza kama ifuatavyo

Clandestine operation - means " Done in secret, behind the scenes, Covert, Furtive, Sneak or Stealthy e.t.c
Hii ni operation inayotumiwa sana na vikundi vya usalama vilivyotajwa hapo juu lakini operation hizo ziki fail inakuwa kama ilivyowahi kutokea hapa.

1. Kutekwa kwa Dr. Ulimboka (wakajua ameshakufa kumbe kawadanganya kwa kuzimia, wakamtelekeza Mabwepande baadaye akakutwa na kuokolewa.
- Adhabu iliyostahili kupewa wahusika kwenye taasisi yao ilikuwa ni kuuwawa maana ni fedheha kushindwa kazi wakati umewezeshwa kila kitu ikiwemo fedha.

2. Kumwagiwa Tindikali Said Kubenea na wenzake "walimwaga kwa woga yaani hawakujiandaa"
- Adhabu iliyostahili kupewa wahusika kwenye taasisi yao ilikuwa ni kuuwawa maana ni fedheha kushindwa kazi wakati umewezeshwa kila kitu ikiwemo fedha.

3. Kupigwa Risasi kwa Ho. Tundu Lissu
- Adhabu iliyostahili kupewa wahusika kwenye taasisi yao ilikuwa ni kuuwawa maana ni fedheha kushindwa kazi wakati umewezeshwa kila kitu ikiwemo fedha.

Fikiria na matukio yafuatayo. Inawezekana operation hiyo ilifanikiwa " good execution"
1. Ben Saanane
2. Prof Jwani Mwaikusa
3. Chacha Wangwe
4. Jems Kombe
5. Mwandishi Azory

Na zingine nyingi.

Hizi operation zinapangwa kwa umaridadi mkubwa sana na zinafanyiwa rehearsal ya kutosha lakini waki-fail kwenye execution adhabu ni kama nilivyotaja hapo juu.

N:B
- Kiujumla hii ni operation ya haraka ili kuokoa jambo baya endapo muhusika ataachwa alitekeleze.
- Na ili litekelezwe kunakuwa na reconnaissance ya kutosha imefanyika.

2. Infiltration operation maana yake ni - The action of entering or gaining access to an organization or place surreptitiously, especially in order to acquire secret information or cause damage.
Au ni The process of secretly becoming part of a group in order to get information or to influence the way that a group thinks or behaves.

"JWTZ huwa wanajenga fence ili ku-stop military infiltration"

Kama difinition zinavyojieleza hapo juu, infiltration ni operation ya mda mrefu ambayo inahitaji professional husika e.g
- kama ni idara ya afya basi anayetumwa anatakiwa awe member wa fani za afya.
- Kama ni migodi ya madini anatakiwa kwenda huko awe mtaalamu pia.
- Kama ni jeshi pia anapandikizwa mwanajeshi ili awe uniform na wao.

Sasa utawa-influence vipi?

Ni lazima awe na akili nyingi na mwenye uwezo wa kupambanua mambo.
- Hawa ni wabaya maana mara nyingine wanaweza kuwa double agents.

Nataka ni-justify. Sidhani kama waliotekwa au kupotea wanaweza kupatikana kama walikuwa na malengo mabaya kwenye maeneo waliyokuwa wanayafanyia kazi.

Maana yake ni hivi

Infiltrator anakuwa counted na covert (clandestine) operations

Infiltration ni mbaya sana msipokuwa macho kama nchi jamii nzima au nchi husika inaweza kuuzwa.

Mind you try to think critically. We need a critical thinkers

Kama sijaeleweka karibuni kwa maswali, au kukosolewa ijapokuwa najua wengi wenu "you know nothing about this issues"

Mods kama inakiuka maadili ya jamii forum mnaweza kuiondoa"

Ahsante sana

cc Yeriko Nyerere.
 
Mi ukiandika vitu hivi usinikopi km nyerere!!bado watoto wangu wadogo sana sijitakii kifo mapema hivi
 
Huu ni upotoshaji wa kijinga kabisa,na ni urongo,undefinedtofautisha mambo ya mafia na mambo mengine, undefinedngoja waku-trace kama hujaimba haleluya kwa huu upotoshaji.
 
Elungata wewe bado ni boya sana. Hii ni elimu huria, ndio maana huwezi kusikia jasusi akajiita yeye ni jasusi. Na ukisikia mtu anajiita yeye ni jasusi mpeleke polisi. Lakini katika shule zile hata mwalimu anakuwa hamjui mwanafunzi na mwanafunzi hamjui mwalimu na wanafunzi wanakuwa hawajuani. Lastly shule ikikolea no graduation but they will send you somewhere as an appointment. Na kwakuwa unakuwa huru unarudi shule kuchukua taaluma nyingine za kiboya kama vile.

1. Sheria
2. Uchumi
3. Business
4. International relations
5. engeneering
6. Medicine
7. Protections VIP
8. Services "kuwahudumia wakubwa"
9. Teaching
10. Kutengeneza vitengo " unakuwa kitengoni kuteneza program na vitengo"
11. Kuwasaka watakaokuwa usalama baadae "kurithisha kizazi"

Wote hao wanawajibika kwa Military Intelligent"

Hii kazi inahitaji watu wenye akili sana sana au wenye uwezo wa kufikiria sana.
Hii nchi ni yetu wote. Tuipende nchi yetu

Nashangaa hakuna aliyeuliza swali, inamaana nimeeleweka vizuri

Tutarudisha ile JKT ya zamani ili tupate vijana kama akina Mabere Nyaucho Marando, Hassy Kitine, Brig. Gen. Agustino Ramadhani na Membe wengine unaweza kuongezea.
 
Back
Top Bottom