Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Hapo vip!!
Mpira ni mchezo wa wazi na uzuri watu wengi sasa hivi wanajua mpira hauwezi kuwadananya.
Jana kila mtu ameona yanga akipewa goli la offside tena bila aibu na Arajiga.
Nafikiri pia ilikuwa nimpango mkakati wa kusihukuru yanga kwa kuchangia chama na kwa upande mwingine ilikuwa ni mpango wa kulipiza kisasi kitendo cha simba kitoitikia salamu za kisiasa. Lakini pia kwa match nyingi ambayo yanga inajinasibu kuishinda Simba ukichunguza na kutafiti yanga amekuwa akipewa ushindi na marefa.
Kwa tafsiri rahisi ni kwamba Yanga hana uwezo wa kuifunga Simba ila refa ndio mwenye uwezo wa kuifunga Simba.jana mmeona kiwango cha Simba kikiwa juu sana ya Yanga.
Kaulimbiu ya Simba iwe "wasipowezeshwa hawezi"