Kinachoikuta Yanga leo kuikuta pia Simba


Uko sahihi kabisa...Watu wazima na akili zao wanaamua eti kumkodisha mtu timu???!! Dah, werevu walijua mapema kuwa Manii alikuwa anaiua Yanga.usajili kwa mamilioni mchezaji mmoja , halafu mishahara kwa baadhi ya wachezaji mamilioni mengi tu...kwa hiyo timu haiwezi kuongozwa na mtu mwingine zaidi yake Manji...Ni nani ataweza kuhimili gharama hizo za uendeshaji???!!!...Yaani gharama zimekuwa inflated na wapigaji na madalali wakiwemo makomando
 
Hii timu isiposhuka daraja mwakani nitashangaa sana !
 
Acha kukalili nyie, simba ya saizi si ya miaka iliyopita, Yanga mnafarijiwa na wachambuzi uchwara wasiosoma alama za nyakati eti " kinacho wakuta Yanga kitawakuta simba" mmetumia vigezo gani?
Simba saizi inabadili mfumo kwenda kwenye mfumo wa compuni mnafikiri wenye kampuni watakubali waendeshe kampuni yao kwa hasara?
Mo dewji alieyendesha biashara kubwa, atakubali uwekezaji wake uende bure asipate faida, hakuna kama hicho.
Yanga tafuteni tu njia jinsi ya kutatua matatizo yenu, msiende kwa kukalili.
Mkiendelea hivyo itabaki historia kwba timu ya Yanga ndio timu iliyowahi kuchukua ubingwa Mara nyingi.
Angalia wenyewe saizi singinda Azam zinachukua wachezaji wazuri mlioshindwa kuwasajiri kwa sababu hamna hela, mfano huyu dogo Tiba John, aliyeenda singida.
Je na mbeya city kama wakiuza zile hisa zao mana nao saizi wamesoma alama za nyakati wamebadili mfumo, kweli mtaweza kushindana na hizo timu .
Saizi eti mzee Akili Mali anataka awe mwenyekiti wenu.
Msifanye kitu kwa mazoea kwamba kwa sababu hizo shida zilikua zinawakumba wote huko nyuma ko mtaendelea kupokezana. Unajikuta umebaki mwenyewe
 
Tiber nae mchezaji???Ungeniambia Kihimbwa au Eliud Ambokile kidoogooo ningekuelewa...tatizo la Yanga majeruhi sio ukata hata Rage aliyewaita mbumbumbu alisema hivyo..unamkosa Tambwe,Kamusoko,Ngoma unategemea nini...maana Ngoma na Tambwe wanafunga magoli double digits
 
true.

hizi timu zenu 2 za kichawi huwaga zinapenda kubadilishana majanga at least kila baada ya miaka 2.
 
Kampuni ya Simba inaitwaje na ina mtaji wa tsh ngapi ?
 
Hii timu inahitaji huruma maalum , inatia aibu sana
 
Mechi ya Gormahia Tambwe na kamusoko walikwepo,una kisingizio nyingine kuhusu majeruhi?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] hao jamaa majeruhi miaka miwili sasa
 
Masikini Yanga !!!!

Yanga wamejitakia wenyewe...Yalikuwa ni makosa makubwa kumkaribisha Manji kwenye timu...Wako waliojua madhara ambayo yangeikuta Yanga...Tatizo la Yana la sasa siyo fedha pekee..kuna zaidi ya fedha...ni wahuni nido walioingia Yanga..eti mwenyekiti wa matawi anakuwa na nguvu kuliko viongozi, wapi na wapi...viongozi wako pale kwa sifa na siyo kuisaidia Yanga...Makomando ndio wanaoongoza timu..madalali na wapiga dili ndio walioshika mpini...ngoja Yanga yawakute ili washikishwe adabu..kuongoza siyo suala la mchezo...unahitaji viongozi makini, waadilifu na wana taaluma..uonozi siyo suala la pesa pekee ...uongozi ni zaidi ya mtu kuwa na fedha...
 

Mkuu uko sawa,lazima klabu ziwe na mipango thabiti ya kujiendesha kwa mapato yake ya mlangoni na vyanzo vingine.Mpira wa leo ni biashara na mfano hai ni ligi za ulaya.Kama Simba na Yanga hazitabadilika na kujiendesha bila kumtegemea mtu mmoja hazitakuwa na muda mrefu zitakufa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…