Kinachoimaliza Simba ni uchawi wa wachezaji wao kwa wao

Kinachoimaliza Simba ni uchawi wa wachezaji wao kwa wao

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Simba kila wakati imekuwa ikisajili wachezaji wazuri sana. Tatizo kuna wachezaji pale Simba hawataki kukubali kuwa muda wao umeisha. Kwa hiyo SIMBA walifnyikie kazi. Mnaweza kuona PHIRI alichofanyiwa banda kapombe.

Wanasimba tuamke hawa wazee waliopo SIMBA bocco mkude mikataba ikiisha wasepe. HATA HUYU JEAN BALEKE watamroga wao kwa wao na hii ndio inayotumaliza MSIMBAZI.

VIONGOZI toeni macho.

Mechi ya kesho beki wasipofanya makosa, Akina MZAMIRU KANOUTE waache kufanya makosa maeneo hatari tunashinda.
 
Inaonekana simba na ushirikina, ni sawa na pete na kidole.

Wachezaji wote wa simba wanaohisi kurogwa na wenzao, waje wanione haraka huku Kwa Msisi Tanga, ili niwape dawa kwa gharama nafuu kabisa ya kujikinga.
 
Kuamini katika uchawi ni kuanza kuchanganyikiwa
 
Kama timu inaruhusu uendeshwaji wa gari KINYUME NYUME.....Sasa wachezaji watashindwaje kufanya hivyo
 
Hahaha
 

Attachments

  • Screenshot_20230415_155557_Instagram.jpg
    Screenshot_20230415_155557_Instagram.jpg
    112.7 KB · Views: 3
Boko Lipambana na Mugalu na Kagere kisawasawa.

Boko akammaliza phili na Ajibu.
 
Shabalala Amemmaliza Kamagi Gadiel mbaga.

Alimuua kabisa Asante Kwasi
 
Nahisi Wakongoman huwa wanakuja bongo wamejipanga kisawa sawa. Hata kama huwa wanapigwa misumari lakini baadae hukaa sawa.
 
Back
Top Bottom