Huko kote wamejaa makadaMeno na JW wameshaelewa shida kwenye hii nchi iko wapi. At last wamepata akili.
Ngoja wamshughulikie huyu Bi shoo na kakikundi chake cha wapigaji alafu Taifa lipatiwe Katiba Mpya kuwabana hawa Wanasiasa Uchwara
Wenye akili wachache wanaoweka maslahi ya Taifa mbele watashinda.Huko kote wamejaa makada
Mwarobaini ni katiba mpya.Nani wa kuisaidia kama kila anayestahili kufanya lolote kulinda Nchi anapewa rushwa anyamaze ,asipotii analazimishwa kutii ,wazee wanaotegemewa wamepewa sega wanalamba ,,,wanaothubutu kutokq wanapewa vifungo vya nyumbani na mambo yanaratibiwa na walafi wenye mission zao kwa kulindwa na mfumo Rais.
Tusipopata dawa ya kudhibiti nguvu za Rais basi Mungu mwenyewe ahusike.
Aisee Nchi imetelekezwa na waliostahili kuilinda!! Inakuwaje mahakama zinanajisiwa kiasi hiki, bunge hovyo halina tena maana ,,wajinga ndo wafanya maamuzi nchini na wazee wamenyamaza au wamenyamazishwq,, mzee maarufu yeye amekalia udalali akitafuta mchongo wa mwanae,,, haki za watu si kitu tena; rushwa imekuwa dini ya watu kabisa .Angalia akina Mbowe wanavyochotewa mabilion hazina ili kucheza michezo haramu ya kuzika haki za watu nchi hii!! Eee Mwenyezi Mungu isaidie Nchi yetu ipone bila damu kumwagika.Meno na JW wameshaelewa shida kwenye hii nchi iko wapi. At last wamepata akili.
Ngoja wamshughulikie huyu Bi shoo na kakikundi chake cha wapigaji alafu Taifa lipatiwe Katiba Mpya kuwabana hawa Wanasiasa Uchwara
Hao wachache hawana nguvu wala mamlakaWenye akili wachache wanaoweka maslahi ya Taifa mbele watashinda.
Hao wanaoweka maslahi ya ukada na chama wanashindwa vibaya mno.