Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Wasalam wanajumui wa Afrika mashariki,
Swala la raia vijana wa Kenya kusimama kwa umoja wao bila kuchoka na kukataa wachache kuwaamulia ndivyo sivyo juu ya maisha yao, kimezua mitazamo tofauti katika ulimwengu.
Mitazamo hio imetokana na mlengo wa muhusika anatokea wapi, maeneo mbalimbali duniani hasa afrika viongozi walio madaraka kwa nafasi zao wamekua upande wa rais Ruto kwakusapoti kua ni sahihi serikali kukazia ukusanyaji wa kodi kama njia ya kujipatia kipato na wasisikilize raia... kwa Tanzania wengi ni viongozi wa ccm na kwa uganda ni rais wao mzee Yoeri Museven ambaye ameenda mbali kabisa kudai ni watetezi wa mambo ya ushoga kupitia mtandao usiolipa hata kodi wa tiktok ndio walioandaa haya maandamano.
Vijana hao wanaofahamika kwa kwa jina la Gen Z wemeenda mbali kushinikiza wabunge wao kukataa mswaada huo na kuamua kuwaweka hadharani wote waliopigia kura ya ndio mswada huo dhalimu. Picha zao zinaenea mitandaoni na kushawishiana washughulikiwe kwa namna yeyote kutokana na usaliti huo kwao, wabunge weng maarufa wameanguka kwenye mtego huo na kuweka rehani kukubalika kwao.
Watu maarufu dunian wamekua wakiwaunga mkono vijana wa Kenya Gen Z kwa maandamano hayo na hata kufikia kupewa HESHIMA ya juu kama vijana wanaojitambua duniani, mitandao mingi raia wa Afrika wamekua wakiona wivu swala hilo wakitamani nao wangeungana kuamsha matapeli na majizi ya kisiasa nchini kwao (inaskitisha isipokua vijana wa Tz)
Hata hivyo mpaka sasa vijana kadhaa wamejeruiwa na mmoja kuawa na askari aliyevaa kiraia ambaye raia wanatafuta sura yake washughulike nae.
Pia askari mmoja amepoteza sehemu ya mikono yake kwakulipukiwa na bomu la machozi alilokua akitupia waandamanaji.
Pia farasi kadhaa wa askari walichukuliwa na raia na mmoja kuchinjwa na wandamanaji hao

Attachments
-
Screenshot_20240621-023931_X.jpg169.7 KB · Views: 5 -
20240621_022210.jpg702.3 KB · Views: 7 -
20240621_020040.jpg219.7 KB · Views: 5 -
20240621_023049.jpg201.9 KB · Views: 7 -
20240621_023328.jpg140.9 KB · Views: 7 -
20240621_023333.jpg600.3 KB · Views: 5 -
Screenshot_20240621-023711_X.jpg367.7 KB · Views: 6 -
20240621_024744.jpg156.2 KB · Views: 7 -
20240621_024531.jpg39.8 KB · Views: 7 -
20240621_024456.jpg105.4 KB · Views: 6 -
20240621_024430.jpg96.3 KB · Views: 7 -
20240621_024308.jpg77.7 KB · Views: 7 -
20240621_073705.jpg76.7 KB · Views: 6 -
Screenshot_20240621-020608_X.jpg355.5 KB · Views: 7 -
Screenshot_20240621-020628_X.jpg344 KB · Views: 6 -
20240621_023049.jpg201.9 KB · Views: 6