Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Upo sahihi hao wabunge wako wewe si kama wa kwao tu wanaopitisha Tozo za hovyo unaweza kuwashauri nini mimi mwenyewe sihitaji hizo fujo ila swala la ushauri hilo halipo mkuu tukataze fujo tu maana yanayotokea huko na hapa kwetu yapo hakuna kitu kitabadilika..ninacho washauri ndugu zetu wa kenya watumie wabunge wao kuwasilisha hoja zao sio kufanya vurugu barabarani.