Upo sahihi hao wabunge wako wewe si kama wa kwao tu wanaopitisha Tozo za hovyo unaweza kuwashauri nini mimi mwenyewe sihitaji hizo fujo ila swala la ushauri hilo halipo mkuu tukataze fujo tu maana yanayotokea huko na hapa kwetu yapo hakuna kitu kitabadilika..