Kinachokwamisha posho za askari zisilipwe kwa wakati ni nini?

Kinachokwamisha posho za askari zisilipwe kwa wakati ni nini?

Aaaa Sasa unataka vijana wetu waishi maisha ya kuunga unga ili iweje? au wewe ndo unatengeneza pesa?
Kiukweli posho mnazopewa na alizo zianzisha /kuziongeza magufuli ni kwamba ni mzigo mzito sana kwa serikali na sidhani kama serikali itaendelea kuzimudu? Kama sikosei ilitoka150,000/ mpaka 300,000/ ni ongezeko kubwa mno mno.

Mbaya zaidi akakurupuka akafunga maduka ya barracks na kutoa sh 100,000/ ya pombe! Aisee ni mzigo mzito mno kwa serikali.

Kiukweli Yale maduka itabidi yarudi na posho ya 100,000/ iondolewe serikali imezidiwa? Pia maduka ya rudi ili na sisi tusio na posho tuje tunywe hizo bia za buku buku?

Asante afande kwa kusoma ujumbe wangu!!! Mwambie mkeo apunguze presha posho inakuja?
 
halafu Yule mama sijui katumwa na nani yaani..ajiangalie sana anapogusa sipo...
Wewe ndio yule mama wa juzi bungeni eh???

Tunakuchora tu, ukiona umetekwa na kufanyiwa madhira ya aina yoyote basi jua aliyekutuma ukaseme vile ndio kakuponza.

Unakosa uchungu na mabilioni mnayolipwa kwa kukalisha mattako tu hapo kila siku, ila hizi mbili tatu za hao askari!!!
 
Polisi unamuonaje sio mnyonge au ni tajiri kualama inapochelewa lazima.
Polisi mi naona hata msipopewa ni sawa tu huwa mnatumika na wanasiasa sana hamjui kaz yenu. Ni kulinda katiba co kutetea mwanasiasa mfano: askari alojbshana na mbowe,pia hua mnaonea wananchi wanapotafuta haki zao
 
Siku nikiwa Rais,posho za Maaskri Polisi nitazihamisha nitawapa Waalimu.Waalimu wana mazingira magumu sana bora Madaktati na manesi mwenyewe sana allowances. Tena Mara 100 mapolisi wanapokea rushwa kibao
Wanasiasa wanawapa hao pesa ili wawatumie kudhulumu haki za wananchi , mfano polisi kumuua aquilina , kupga wananch wakiandamana kudai haki, ni mara mia posho wapew walimu upo sahihi
 
Ningekua raisi polisi ngewanyoosha sana adi mjue kazi yenu ni nini
 
Wewe ndio yule mama wa juzi bungeni eh???

Tunakuchora tu, ukiona umetekwa na kufanyiwa madhira ya aina yoyote basi jua aliyekutuma ukaseme vile ndio kakuponza.

Unakosa uchungu na mabilioni mnayolipwa kwa kukalisha mattako tu hapo kila siku, ila hizi mbili tatu za hao askari!!!
Hahaaa afande mmepaki ya posho ikichelewa siku moja tuu mpaka wasio na kazi huku jamii forum wanajua posha imechelewa !?? Pole sana jipange mzeee!!?? Si unajua mnavofukuzwa kazi kama mbwa!?? Jipange mzee !! Tutakupumulia kisogoni !! Wewe cheza nasisi tu
 
....watu wa ajabu sana ninyi. Mambo ya posho ni siri yako na mwajiri. Kuyaleta hadharani ndio nini? Ukisikia kakosa weledi ndio huku. Hamjui hata kutunza vyenu vya ndani? Mishahara na posho zenu kabla hamjapokea, kila mtu ashajua mtaani. Mnatia jibu. Hebu staarabikeni !
Ndio maana wakifukuzwa kazi wanafirika kitaa!!!! Yana njaa kishenzi haya
 
Acha uongo bana, kikwete anaondoka na mabegi kwao msoga.
Kaacha mambo ya ndani 180k,ulinzi 275k
Sasa kama ni hivyo kati ya magufuli na jk nani alipandisha posho kubwa
 
Back
Top Bottom