Kinachokwamisha posho za askari zisilipwe kwa wakati ni nini?

Aaaa Sasa unataka vijana wetu waishi maisha ya kuunga unga ili iweje? au wewe ndo unatengeneza pesa?
 
halafu Yule mama sijui katumwa na nani yaani..ajiangalie sana anapogusa sipo...
 
Polisi unamuonaje sio mnyonge au ni tajiri kualama inapochelewa lazima.
Polisi mi naona hata msipopewa ni sawa tu huwa mnatumika na wanasiasa sana hamjui kaz yenu. Ni kulinda katiba co kutetea mwanasiasa mfano: askari alojbshana na mbowe,pia hua mnaonea wananchi wanapotafuta haki zao
 
Siku nikiwa Rais,posho za Maaskri Polisi nitazihamisha nitawapa Waalimu.Waalimu wana mazingira magumu sana bora Madaktati na manesi mwenyewe sana allowances. Tena Mara 100 mapolisi wanapokea rushwa kibao
Wanasiasa wanawapa hao pesa ili wawatumie kudhulumu haki za wananchi , mfano polisi kumuua aquilina , kupga wananch wakiandamana kudai haki, ni mara mia posho wapew walimu upo sahihi
 
Ningekua raisi polisi ngewanyoosha sana adi mjue kazi yenu ni nini
 
Hahaaa afande mmepaki ya posho ikichelewa siku moja tuu mpaka wasio na kazi huku jamii forum wanajua posha imechelewa !?? Pole sana jipange mzeee!!?? Si unajua mnavofukuzwa kazi kama mbwa!?? Jipange mzee !! Tutakupumulia kisogoni !! Wewe cheza nasisi tu
 
Ndio maana wakifukuzwa kazi wanafirika kitaa!!!! Yana njaa kishenzi haya
 
Acha uongo bana, kikwete anaondoka na mabegi kwao msoga.
Kaacha mambo ya ndani 180k,ulinzi 275k
Sasa kama ni hivyo kati ya magufuli na jk nani alipandisha posho kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…