ExactlyNa angetawala milele, haki ya nani baadhi ya sisi raia wenye akili timamu, tungeishi maisha magumu sana! Ilifikia wakati kila kitu kikifanyika hata kama ni cha kawaida kiasi gani, pongezi zote zilienda kwa Mheshimiwa Rais Dokta John Pombe Joseph Magufuli!
Mungu Mkubwa aisee!!
Kwakweli MAGUFULI alitengeneza legacy ya hovyo sana sana na mama samia ana kaxi kubwa sana kuondosha huu ujinga kwanzaNa angetawala milele, haki ya nani baadhi ya sisi raia wenye akili timamu, tungeishi maisha magumu sana! Ilifikia wakati kila kitu kikifanyika hata kama ni cha kawaida kiasi gani, pongezi zote zilienda kwa Mheshimiwa Rais Dokta John Pombe Joseph Magufuli!
Mungu Mkubwa aisee!!