Kinachomfanya Alikiba asishuke kimuziki sio huruma ya watanzania bali ni tungo zake Matata sana



Hivi tunakosaga vitu vya kufanya au???? Kiba&diamond what kind of hell is this tunashindwa kufikiri vitu vya maana kila siku kiba&diamond hebu tubadilike jaman wao wanatengeneza hela kuptia ss je ss tunatengeneza hela kuptia wao????
 
Wakati Kiba anasainishwa Sony, tuliambiwa atatoa album ndani ya mwaka mmoja! Hivi album yenyewe imeshatoka tayari au bado inapikwa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…