Habari JF
Watu baadhi walikuwa wakizusha, kuwa Alikiba anatumia huruma ya Watz , hili kuendelea kusumbua hapa Tz.
Lakin sio kweli msanii Alikiba amejaliwa sauti nzuri yenye mvuto wa aina yake na, pia katika uandishi amefanikiwa kuliteka soko. Huwezi kuwa na akili timamu ukasikiliza nyimbo za matusi kama Jeje ya Mond , Alafu ukaiacha Mshumaa.
Alikiba uchawi wake hupo katika mashairi yenye kutumia Akili na sio kingine.
Hila akijisahau akaanza kuandika nyimbo kama nyegezi hilo ndo litakuwa kaburi lake.
Hivi tunakosaga vitu vya kufanya au???? Kiba&diamond what kind of hell is this tunashindwa kufikiri vitu vya maana kila siku kiba&diamond hebu tubadilike jaman wao wanatengeneza hela kuptia ss je ss tunatengeneza hela kuptia wao????