Kinachomfanya kocha Nabi apate mafanikio kwenye soka la bongo ni kusimamia na kuheshimu taaluma yake

Hizo pombe ulizolewa umenunua mwenyewe au umenunuliwa na mchepuko wa dadako. Yani kibadeni ni bora kuliko huyo mwarabi aliyefukuzwa kazi almereki sababu ya kufungwa na simba
 
Hizo pombe ulizolewa umenunua mwenyewe au umenunuliwa na mchepuko wa dadako. Yani kibadeni ni bora kuliko huyo mwarabi aliyefukuzwa kazi almereki sababu ya kufungwa na simba
Kwan josee morinyo hajawahi kufukuzwa lakini ubora wake upo pale pale

Kwa hiyo kufukuzwa kocha haimaanishi kuwa Hana uwezo

Huna fact ila unajibu kishabiki sana.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hizo pombe ulizolewa umenunua mwenyewe au umenunuliwa na mchepuko wa dadako. Yani kibadeni ni bora kuliko huyo mwarabi aliyefukuzwa kazi almereki sababu ya kufungwa na simba
Mbona kama wewe ndio mlevi, kocha kufukuzwa ni ajabu?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Yanga bhn Mafanikio gan Nabi ameyapata?? Au ya kushiriki kombe la walio fel kwen nimafanikio
 
sio professional yake ni profession yake
 
Ila kocha wa ball yupo kombe la ma looser Africa, atakuwa kocha wa NDONDO
 
Ila yupo kombe la ma looser anazidiwa na mgunda aliipeleka Simba makundi nabi yeye mzee wa looser
Sawa mgunda kapeleka simba makundi mpeni timu awe kocha mkuu kwa Nini bado mmeamua kuleta wazungu pale

Bado hamujiamini.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…