Kinachomfanya kocha Nabi apate mafanikio kwenye soka la bongo ni kusimamia na kuheshimu taaluma yake

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Kachukua Kombe la Ligi, Ngao mara mbili na FA, si mwingine ni yule yule mwamba kutoka Tunisia hakika huyu ni kocha wa mpira hapa Yanga wamelamba dume.

Ipo hivi mpira wetu wa bongo, wachezaji wamegawanyika katika pande mbili yaani hili halina ubishi na ndiyo kikwazo kikubwa sana kwa makocha wa kigeni wanaokuja kufundisha hapa Tanzania.

Tena hili lipo sana katika vilabu vyetu kongwe vya Simba na Yanga kwa maana ndiyo mashabiki wengi na ndiyo hugawa wachezaji nakuanza kuwapa kazi ngumu.

Wachezaji wamegawanyika katika pande mbili nazo ni (1) wachezaji wa kocha na (2) wachezaji wa mashabiki.

Kama nitakua nakosea "Prove me wrong" Sasa hawa wachezaji wa kocha ni wale ambao wanakwenda sawa na mfumo wa wa kocha Ina maana hata mazoezini anawaona wapo vizuri na mfumo wake

Wachezaji wa mashabiki ni wale wachezaji ambao wanabahati yakupwendwa na mashabiki hao hata Kama kwenye gemu hawapo sawa wakifanyiwa sub tu, utasikia "Huyu kocha hatumuelewi."

Kama kocha atashindwa kusimamia professional yake na kuwa na msimamo juu ya kile anachokiona mazoezini hakika lazima atumbukie kwenye shimo la hewa nakupotezwa na kelele za mashabiki.

Lakini mwamba kutoka Tunisia kocha wa ball Prof. Nabi, alivunja minyororo hiyo nakuprove ule msemo unaosemwa kuwa "Hakuna mchezaji mkubwa zaidi ya timu."

Mpaka sasa yanga hakuna mchezaji mkubwa mbele ya Prof. Nabi kila mtu anatimiza wajibu wake atakapo pewa majukumu na kocha wake Hilo nabi kafanikiwa kulidhibiti hata mashabiki mpaka sasa nwanashangazwa na kikosi cha Nabi kinapopangwa na kinaleta matokeo mazuri tu.

Mfano halisi tu kwa upande wa pili mashabiki na viongozi wanapiga makelele kuwa Chama ni bora wakati walishakuja makocha professional kabisa toka nje nakusema Chama hana ubora na hilo lipo wazi lakini kwa kuwa ni kipenzi cha mashabiki makelele yakawa mengi mpaka kocha akaacha professional yake nakuanza kufuata mfumo wa mashabiki.

Makocha wazawa wanalakujifunza kutoka kwa kocha wa mpira Prof. Nabi kuwa "ukisimamia professional yako na siyo kelele za mashabiki au viongozi wa timu lazima timu isonge mbele la sivyo utatumbukia kwenye shimo la hewa"

NALIA NGWENA the great thinker nimeandika Kama mdau wa mpira na mwenye mapenzi makubwa sana na mpira wetu huu usonge mbele mashabiki na viongozi wa timu tusipangie makocha nakuwaingilia professional zao nakujifanya tunajua wakati hata danadana kumi kupiga huwezi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kachukua kombe la ligi, ngao Mara mbili na Fa, si mwingine ni Yule Yule mwamba kutoka Tunisia hakika huyu ni kocha wa mpira hapa yanga wamelamba dume.

Ipo hivi mpira wetu wa bongo, wachezaji wamegawanyika katika pande mbili yaani hili halina ubishi na ndiyo kikwazo kikubwa sana kwa makocha wa kigeni wanaokuja kufundisha hapa Tanzania.

Tena hili lipo sana katika vilabu vyetu kongwe vya simba na yanga kwa maana ndiyo mashabiki wengi na ndiyo hugawa wachezaji nakuanza kuwapa kazi ngumu.

Wachezaji wamegawanyika katika pande mbili nazo ni (1) wachezaji wa kocha na (2) wachezaji wa mashabiki.

Kama nitakua nakosea "prove me wrong" Sasa hawa wachezaji wa kocha ni wale ambao wanakwenda sawa na mfumo wa wa kocha Ina maana hata mazoezini anawaona wapo vizuri na mfumo wake

Wachezaji wa mashabiki ni wale wachezaji ambao wanabahati yakupwendwa na mashabiki hao hata Kama kwenye gemu hawapo sawa wakifanyiwa sub tu, utasikia "huyu kocha hatumuelewi"

Kama kocha atashindwa kusimamia professional yake na kuwa na msimamo juu ya kile anachokiona mazoezini hakika lazima atumbukie kwenye shimo la hewa nakupotezwa na kelele za mashabiki.

Lakini mwamba kutoka Tunisia kocha wa ball Pro Nabi, alivunja minyororo hiyo nakuprove ule msemo unaosemwa kuwa "hakuna mchezaji mkubwa zaidi ya timu"

Mpaka Sasa yanga hakuna mchezaji mkubwa mbele ya Prof Nabi kila mtu anatimiza wajibu wake atakapo pewa majukumu na kocha wake Hilo nabi kafanikiwa kulidhibiti hata mashabiki mpaka Sasa nwanashangazwa na kikosi Cha Nabi kinapopangwa na kinaleta matokeo mazuri tu.

Mfano halisi tu kwa upande wa pili mashabiki na viongozi wanapiga makelele kuwa chama ni Bora wakati walishakuja makocha professional kabisa toka nje nakusema chama Hana ubora na Hilo lipo wazi lakini kwa kuwa ni kipenzi Cha mashabiki makelele yakawa mengi mpaka kocha akaacha professional yake nakuanza kufuata mfumo wa mashabiki.

Makocha wazawa wanalakujifunza kutoka kwa kocha wa mpira Prof Nabi kuwa "ukisimamia professional yako na siyo kelele za mashabiki au viongozi wa timu lazima timu isonge mbele la sivyo utatumbukia kwenye shimo la hewa"

Chama ni mchezaji mzuri,
Hayo mengine yote ni mazuri
 
Wakati mwingine Mashabiki na Wapenzi wa mpira huemkwa tu na mahaba ila baada ya mechi kuisha na madishi yao kukamata vizuri hujiona kabisa walivyo PUMBA.
 
Ninachijua mimi Simba (klabu Bora) Afrika mashariki ilisababushwa kufukuzwa kocha Nabi sehemu fulani kabla ya kuja Utopo.
 
Back
Top Bottom