Kapukuuu wampeleke wapiiSio anapenda vijana,anapenda kuishi kama celebrity hiyo ndio inamgharimu sana huyu dada,a beautuful,talented and rich woman,but love affair has almost ruin her entire happiness..
Choice yakekwani mzee haolewi
Hivi Zari ana Uzee Gani? Hata kama ana 38 au 40 Still ukimuweka na Mabinti wa Tanzania wenye 25 wataonekana wazee kuliko yeye.Hivyo inambidi avumilie Figisu za muuza Katanga maana hamna namna, kwa sababu yeye damu bado inachemka
Ila yule Zari ni mzuri kuliko wengi wenu nyie sijui mkifika kwenye age yake mtakuaje....mana hapa bongo unakuta mijidada ina miaka hata 30 haifiki lakini tayari imeshaanza kuzeeka inakua kama mimama ukiliuliza we una miaka mingapi utaskia nimezaliwa 1994 lakini kumcheki utafikiri yupo kwenye early phases za menopause ..Diamond alikuwa Hamtaki zari Siku nyingi tu,, Oooh zari mzuri Ooo zari sijui nini mbona kufanyiwa vituko mpaka kanynyua mikono juu, kagoma hatoki boi
Tena yule ndo kakomaa atari maana mademu wa uswahili wanaanzaga kukalia uume kabla hata hawajavunja ungo so u can imagine hapo....Huyo hamisa ana udogo gn?
Nikweli ila bado kuna watu wazima ovyo kwenye suala hili, mapenzi siyo umri jamani kikubwa ni maelewano na watu kujielewaUmri sio issue man, tena watu wazima wanapendeza sana ktk mahaba....
Yani unaonekana una hasira na uyo zari kwajinsi alivokuzidi kila kitu....Ni hivi apate wa Huko atuachie mtz wetu
Nafikiri hajajiengua bali alikuwa anategea aombwe msamaha ss naona lion kaamua bibi aende zake. Nyuma ya huu uhusiano kuna siri ya kale katoto ka kiume iko siku itakuwa wazi.Nimempenda zari alivyo jiengua mwenyewe.......kama Zuma vile!
Mwongo weye! Sio tupac bana!Age anti nothing, but a number!! 2pack.
huyo jamaa nadhani ndio wale wakati wenzao tunaenda disco wao wanaweka miguu kwenye ndoo ya maji na kitabu cha AbortMwongo weye! Sio tupac bana!