Kinachomgharimu Zari ni Kutaka kuolewa na vijana wakati yeye ni mzee

Kinachomgharimu Zari ni Kutaka kuolewa na vijana wakati yeye ni mzee

Mkimaliza kubishana....



Mje niwaambie MAGU KAMTEUA NANI
 
Sio anapenda vijana,anapenda kuishi kama celebrity hiyo ndio inamgharimu sana huyu dada,a beautuful,talented and rich woman,but love affair has almost ruin her entire happiness..
Kapukuuu wampeleke wapii
 
She is a good fighter brda..hatandugu za mume wakati wanapambana NA maliza mumewe aliwaonyesha show nyambizi..ataki ujingaa kwenye pesa
 
Hivyo inambidi avumilie Figisu za muuza Katanga maana hamna namna, kwa sababu yeye damu bado inachemka
Hivi Zari ana Uzee Gani? Hata kama ana 38 au 40 Still ukimuweka na Mabinti wa Tanzania wenye 25 wataonekana wazee kuliko yeye.
 
Watu wazima watamu bwana Wanajua ku care

Ova
 
Diamond alikuwa Hamtaki zari Siku nyingi tu,, Oooh zari mzuri Ooo zari sijui nini mbona kufanyiwa vituko mpaka kanynyua mikono juu, kagoma hatoki boi
Ila yule Zari ni mzuri kuliko wengi wenu nyie sijui mkifika kwenye age yake mtakuaje....mana hapa bongo unakuta mijidada ina miaka hata 30 haifiki lakini tayari imeshaanza kuzeeka inakua kama mimama ukiliuliza we una miaka mingapi utaskia nimezaliwa 1994 lakini kumcheki utafikiri yupo kwenye early phases za menopause ..

Uyo zari mnamdiss kisa mzuri tena mzuri haswaaa yani mzuri yule afu hana njaa njaa sio mara bebi naomba hela ya pedi mara bebi chupi imetoboka naomba hela pumbavuu!

Yule zari ni mzuri kushinda nyie ila hakuna mwanamke mzuri kuzidi tamaa za mwanaume kwaiyo ukiona domo anachepuka sio zari mbaya la hasha! Ni tamaa tu ambazo tumeumbiwa hua haturidhikagi hata mwanamke awe mzuri vipi

Kwaiyo.msijipe moyo kwa hoja nyepesi eti kama mzuri mbona jamaa anachepuka....J-lo alichepukwa sembuse Zari....mwanaume kuchepuka ni Sunnah!
 
Ni hivi apate wa Huko atuachie mtz wetu
Yani unaonekana una hasira na uyo zari kwajinsi alivokuzidi kila kitu....
apo unaishi kwenye kachumba kamoja umepanga stooo...
uzuri umenyimwa unazeeka hujafanya cha maana ..menopause ndo iyo inakaribia....

Apo we ni single mama mtoto yupo kwa bibi yake uko shamba
no wonder sishangai why una hasira na zari ningekua wewe ningejitahidi nipambane na hali yangu ....
we maisha yashakushinda tayari sasa mwangalie mwanao asije kua loser kama wewe....sawa dada?
Rise above Hate!
 
Nimempenda zari alivyo jiengua mwenyewe.......kama Zuma vile!
Nafikiri hajajiengua bali alikuwa anategea aombwe msamaha ss naona lion kaamua bibi aende zake. Nyuma ya huu uhusiano kuna siri ya kale katoto ka kiume iko siku itakuwa wazi.
 
Huyo dogo wenu wa Tandale nae anapenda sana vitu used!
 
Maisha nikuchagua zari kakataa kuambukizwa gonorrhea na kaswende anazozitafuta mondi makusudi
Maana hata ndomu ya jero kwake mtihani anapenda kuloweka, suruali zake hazina zipu
 
Nyie mbwa wote kweli uzi wa kipuuuuz unawatoa mapovu duuuu umbea tu
 
Back
Top Bottom