Hicho ndicho anachokijua jamani. Msameheni bure
sheikh yahya alitabili kuwa baada ya mkapa atakuja raisi wa KIKE. :becky::becky::becky:
sheikh yahya u were 100% right!!
After all He is a Human being like you!, he needs sometime out he works very hard.
Kumbe kutamu hivi, hata mimi ningekuwa hivyo mana huku hafanyi vitu kama hivyo.
Jamani hapa ilikuwa ni pale Mlimani City hivi majuzi wakati wanafunga ule mkutano wa mambo ya uchumi barani Afrika, haikuwa nje ya nchi. Ila kura yangu simpi kabisaaaaaaa maana yeye ni rafiki wa mafisadi wanaoinyonya nchi yetu huku yeye akisema ni wasafi na walisingiziwa.
Yea! On ya face! he works very hard to hug mafisadis huh!!! hang on, kwa kupunguza crime nchini! wezi wakuku jela 5 years na mwizi wa ma billion walk free and you will get rewarded.After all He is a Human being like you!, he needs sometime out he works very hard.
After all He is a Human being like you!, he needs sometime out he works very hard.
Nani kakudanganya Bush anapenda raia wake...Alaa utaniudhiiiiiiiiiiiiiiiiii......Rais Bush alipotembelea Tanzania naye alionekana kucheza sambamba na wananchi sehemu mbalimbali alizokwenda ikiwemo aliyokutana na jamii ya kimasai kule Arusha. Ni hulka ya marais wanaojali wananchi wao hasa wa hali ya chini bila kujali wadhifa wao mkubwa kitaifa. Wananchi wa kawaida wanapenda sana viongozi wanaoweza kuwa sehemu ya maisha yao.