Elections 2010 Kinachompeleka JK nje ni hiki...!!

Elections 2010 Kinachompeleka JK nje ni hiki...!!

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2009
Posts
2,935
Reaction score
3,346

dance kikwete.jpg
 
Attachments

  • jk akicheza.jpg
    jk akicheza.jpg
    32.3 KB · Views: 350
Hiyo kazi kaifanya sana hata kwenye majukwaa yake ya kampeni za sasa. Mkimpa miaka hii mitano ya mwisho ndio safari zitaongezeka hasa.
 
Jamani tumrudishe kwenye "mayenu" maana huku ndiko anchowezaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
sheikh yahya alitabili kuwa baada ya mkapa atakuja raisi wa KIKE. :becky::becky::becky:

sheikh yahya u were 100% right!!
 
After all He is a Human being like you!, he needs sometime out he works very hard.

umesemaje wewe?he works hard for whom and for what?usinnitie kichefuchefu mie
 
jamani acheni uzushi...hapa wala sio nje kwanza ni Dar es salaam kwny ile economic forum, pia kurelax ni ki2 cha kawaida tu...what is the big deal?
 
Kumbe kutamu hivi, hata mimi ningekuwa hivyo mana huku hafanyi vitu kama hivyo.
 
Kiongozi serious wa nchi yenye matatizo kama BONGO unapata wapi nafasi ya kucheza sindimba? Uliwahi kuwaona waliomtangulia [japo walikuwa na mapungufu yao]wakicheza ngoma kama anavyofanya yeye? Yeye muda wote kwake ni starehe tu!
 
Kumbe kutamu hivi, hata mimi ningekuwa hivyo mana huku hafanyi vitu kama hivyo.

Jamani hapa ilikuwa ni pale Mlimani City hivi majuzi wakati wanafunga ule mkutano wa mambo ya uchumi barani Afrika, haikuwa nje ya nchi. Ila kura yangu simpi kabisaaaaaaa maana yeye ni rafiki wa mafisadi wanaoinyonya nchi yetu huku yeye akisema ni wasafi na walisingiziwa.
 
kumpa kura ?Kikwete ni sawa na kukalia kaa la moto ukidhani makalio hayataungua
 
Rais Bush alipotembelea Tanzania naye alionekana kucheza sambamba na wananchi sehemu mbalimbali alizokwenda ikiwemo aliyokutana na jamii ya kimasai kule Arusha. Ni hulka ya marais wanaojali wananchi wao hasa wa hali ya chini bila kujali wadhifa wao mkubwa kitaifa. Wananchi wa kawaida wanapenda sana viongozi wanaoweza kuwa sehemu ya maisha yao.
 
ili mradi itifaki imezingatiwa kuwa katika nafasi ya urais si sababu ya kukosa burudani za maisha,
 
After all He is a Human being like you!, he needs sometime out he works very hard.
Yea! On ya face! he works very hard to hug mafisadis huh!!! hang on, kwa kupunguza crime nchini! wezi wakuku jela 5 years na mwizi wa ma billion walk free and you will get rewarded.
 
Teh teh teh,kumbe huyu ndiye muanzilishi wa staili za kiduku,naona hapa anacheza kiduku kwa kwenda mbele,inaelekea huko mbeleni alianza kusaula viwalo vyake!!
 
Rais Bush alipotembelea Tanzania naye alionekana kucheza sambamba na wananchi sehemu mbalimbali alizokwenda ikiwemo aliyokutana na jamii ya kimasai kule Arusha. Ni hulka ya marais wanaojali wananchi wao hasa wa hali ya chini bila kujali wadhifa wao mkubwa kitaifa. Wananchi wa kawaida wanapenda sana viongozi wanaoweza kuwa sehemu ya maisha yao.
Nani kakudanganya Bush anapenda raia wake...Alaa utaniudhiiiiiiiiiiiiiiiiii......
 
Back
Top Bottom