Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Sio kila siku ni Jumamosi au sio kila zama zitabakia kuwa hivyo hivyo.
Awamu ya nne chini ya Jakaya Chadema walifanya siasa za harakati kiasi cha kumtisha Jakaya kuwa hawezi kutawala nchi.
Maandamano na operasheni zilitawala kiasi cha kumtikisa Jakaya. Pamoja na hayo kwa kiasi fulani harakati za maandamano na kudandia matukio ya kifisadi yalifanya Mbowe na genge lake wapate umaarufu kupitia Dk Slaa.
Leo hii baada ya miaka takribani kumi Mbowe amekemariri kuwa siasa ni harakati na kutaka kuwini watu wampe sapoti .
Inaingia akilini kwa Tanzania ya Leo kuwa genge la Mbowe litawini watu?
Haya ngoja tuone maana kinachoendelea leo hii sidhani kama kitajirudia kama ilivyokuwa awamu ya nne