Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
Mama Samia
Mke wa Mzee Awadhi Hafidhi kutoka Makundi Zanzibar
Ni mama mpole, mnyenyekevu lakini mvumilivu asiyetaka makuu ni mama mwenye Upendo. (Hapa nitapingwa lakini ndivyo alivyo).
Ni kweli binadamu huwezi kuwa na tabia moja labda uwe Zezeta, hata Zezeta hupiga watu, hutukana watu na muda mwingine kuzira.
Mama Samia anayo hulka ya Kuzira sio mvumilivu wa mambo ya kinyama au kuonea binadamu mwingine.
Kitendo cha Mdude kusema
"Wembe uleule niliyomnyolea mtangulizi wake ndo nitakaomnyolea na yeye"
Kusema huyo mama yenu wakati gerezani ulisota kwa sababu tu mtangulizi alikuweka ndani na kutokutoa shukrani kwa aliyeweka mazingira mazuri wewe ukatoka nje huo sio uungwana.
Nadhani kwa kauli ile ya Mdude mama Samia alizira hakuona afya kabisa kwa wapinzani,madamu Samia Hasaan alitaka kuweka mazingira ya kufanya kazi kwa pamoja wapinzani waliendelea na waendelea kumkatisha tamaa .Mama .Mama Samia amezira.
Ikiwa amesema katiba mpya ataleta ila uchumi ni mbaya ,mtangulizi wake alikuwa anatupa fix uchumi ni mzuri kumbe athari za Corona zilitugusa mbaya kabisa.
Kivuli cha Magufuli kwa Mama Samia .
1. Makamo wa Rais Dr Mpango huyu sio mwana-demokrasia hapendi wapenzi leo katika ziara zake Kigoma tayari Katibu wa tawi huko Kigoma amekamatwa kwa kukataa kushusha bendera ya CHADEMA tena Nyumbani kwake.
Kauli zake tata kuhusu wapinzani kususia bajeti kuwa ni kosa wakati akiwa bungeni kama waziri na baada ya kuaga bunge baada ya kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais.
Hata hiyo mikodi ya muamala, mikodi ya kwenye mafuta aliandaa yeye.
2.Waziri mkuu-Kassim Majaliwa
Huyu huwa amejificha kwenye kivuli cha utendaji wa serikali, nadhani ndo aliyebeba taswira ya Magufuli
Ni mshauri mkuu wa mama Samia katika utendaji wa serikali huenda hilo la kuzuia mikutano lilitoka Kwake kwa kuzingatia kwamba mama Samia ni mwanamke hivyo kila ushauri kutoka kwa mwanaume ataupokea asipoupokea atawambia wabunge wamnafikie.
3.IGP SIRO
Ni sawa jeshi la polisi huchukua order kutoka serikali hasa mkuu wa nchi lakini linayo nafasi wa kushauri sera za serikali ziweze kurekebishwa hasa katika kipindi cha mihemko ya kisiasa kama ilivyo saa hizi ya kuomba katiba mpya .
Polisi imekua ikibeba chama tawala mgongoni mathalani muda huu katibu mkuu wa CCM na katibu mwenezi wapo mikoani hawajuzuiwa ila CHADEMA ,ACT Wazalendo wanazuiwa .
4.Kifo cha Magufuli ni tatizo na fursa kisiasa
Yeye mwenyewe mama Samia huenda alikua hakubaliki sana na baadhi ya wanasiasa ndani ya chama chake,mama Samia amechukua hatamu kwa sababu katiba inataka iwe hivo ,ukiwa makamu means anytime unaweza kua mkuu wa nchi ,alijipanga ama hakujipanga hilo lipo juu ya uwezo wake.
Nachotaka kusema ni kuwa watanzania walishachoka kuishi kama digidigi
Achange karata zake mapema fursa aloipata hata makamu wake aliyenaye muda anaweza kuipata.
Watu 138 akiwemo mzee wa miaka 83 unawalazaje selo na ugonjwa huu wa corona,chakula na dawa unawanyima?.
Unaweza kuzuia mikutano ya ndani ya vyama?
Navyojua kuna kuna watu wanataka mama apuyange ili 2025 asipate kiti
Job Ndugai and co
Kassim Majaliwa and co
Sukuma gang and co
Na idara and co
Hawapendi kabisa kwanza mzanzibar atawale halafu mwanamke.
Mama Samia ni wewe kusimama katika IMANI au kwenda vuguvugu.
Binafsi bado nina imani nae tofauti na mtangulizi wake katika
Utawala wa sheria na Haki za binadamu.