Kinachomtesa Rais Samia ni kivuli cha Magufuli

Mahaba ya kipuuzi na kumsafisha. Akili zile zile za miaka kadhaa nyuma. Kwa hiyo hafai kama hajiwezi ,hana maamuzi. Raisi anazila? Hili tatizo kubwa. Mihemko kila sehemu.

 
Hayo ni mawazo na mtazamo wako kila mmoja anayo,namna ya kuyaona mambo yaliyo mema na maovu,kwa kawaida anayenufaika na uovu hawezi ona uovu unaomnufaisha,ila anayetendewa uuona uovu usioonekana kwa mnufakaika.
 
Mama Samia hajafanya lolote katika kusimika uongozi wake. alikuwa na fursa la mpaka kubadirisha uongozi wa bunge hakuitumia.
 
Mtaendelea kumtetea hadi lini, kiufupi delila is unfit
 
Sijaelewa magufuri kahusika wapi maana kama raisi wa sasa hana mamlaka ila anaongozwa na kivuri cha magufuri sawa

Ila kuwabeba wapinzani ni ujinga mkubwa sana na namshauri mama azidi kushupaza shingo

Hivi hamuoni aibu mpaka mange kimambi saizi hawataki nyumbu kashajua hamna la maana
 
Mm namakufuli nawamoja hapa kazi tu na Kisha kazi iendelee
 
Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza, hivi leo yuko wapi vile dom, zenji, dar, bujumbura ama duniani? Ama kweli ingekuwa ni biashara basi kwa hii tuna haki ya kudai chenji kwa nguvu hata kama pesa iliisha
 
Kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza, hivi leo yuko wapi vile dom, zenji, dar, bujumbura ama duniani? Ama kweli ingekuwa ni biashara basi kwa hii tuna haki ya kudai chenji kwa nguvu hata kama pesa iliisha
 
Alietoa hii hoja nafikiri sasa anatakiwa aitoe, kwani haina uhalisia hata kidogo. Rais najua akifanyacho acha aendelee utajua hakuna cha kivuli wala mzimu hapa. Rais Samia chapa kazi utawafunga kulimi limi chao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…