Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Kwa heshima tuachane na hadithi za wafu,tuwaache wapumzike kwa amani.Njia ya muongo ni fupi
Kwani analazimishwa kuwateua rejected?
Kinachomuangusha ni vita yake isiyoisha dhidi ya marehemu
Kweli mkuu SHE SHOULD ACT QUICKLY OVER THOSE BURGLARS.Kazi ya rais ni kuwasimamia hao wateule wake watimize majukumu Yao, ndo maana tumempa mamlaka ya kuwapiga chini na kuteua wengine akiona hawafanyi vyema kwenye nafasi walizopewa
Kinachonipa wasiwasi ni swala la sisi raia kupaza sauti zetu kwa wingi juu ya ufisadi na mienendo mibaya ya wateule wake, badala ya yeye kuchukua hatua na yeye anarudi kwetu akilalamika kuhusu hao wateule wake bila kuchukua hatua yoyote
Ewe Tanzania yangu!!!
Hilo neno mweleze mzee Y. Marope, Goli la Mkono na wajumbe Mkutano Mkuu CCMKwa heshima tuachane na hadithi za wafu,tuwaache wapumzike kwa amani.
Kama mteule yupi na amefanyaje? Na lini Wateule hawakuwahi kuwa tatizo hapa Tanzania?Mteule ni nani?
Mteule ni mtu fulani aliyeaminiwa na mteua au kiongozi wa mamlaka fulani ili amsaidie kwa uaminifu katika shughuli za uangalizi, utendaji kuwa mkweli kwa mteua,kumshauri kwa kile kilicho chema bila kumwingiza mteua katika aina yoyote ya uwongo ulaghai wizi na maovu yoyote yale yatakayo mvunjia heshima mteua mbele ya Jamii aliyoapa kuisimamia kwa haki.
Kwani wateule hujiteua wenyeweMteule ni nani?
Mteule ni mtu fulani aliyeaminiwa na mteua au kiongozi wa mamlaka fulani ili amsaidie kwa uaminifu katika shughuli za uangalizi, utendaji kuwa mkweli kwa mteua,kumshauri kwa kile kilicho chema bila kumwingiza mteua katika aina yoyote ya uwongo ulaghai wizi na maovu yoyote yale yatakayo mvunjia heshima mteua mbele ya Jamii aliyoapa kuisimamia kwa haki.
Yeye na wateule wake lao moja vingenevyo angewatenguaMteule ni nani?
Mteule ni mtu fulani aliyeaminiwa na mteua au kiongozi wa mamlaka fulani ili amsaidie kwa uaminifu katika shughuli za uangalizi, utendaji kuwa mkweli kwa mteua,kumshauri kwa kile kilicho chema bila kumwingiza mteua katika aina yoyote ya uwongo ulaghai wizi na maovu yoyote yale yatakayo mvunjia heshima mteua mbele ya Jamii aliyoapa kuisimamia kwa haki.
True ila sio kosa lake Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe mudaMteule ni nani?
Mteule ni mtu fulani aliyeaminiwa na mteua au kiongozi wa mamlaka fulani ili amsaidie kwa uaminifu katika shughuli za uangalizi, utendaji kuwa mkweli kwa mteua, kumshauri kwa kile kilicho chema bila kumwingiza mteua katika aina yoyote ya uwongo ulaghai wizi na maovu yoyote yale yatakayo mvunjia heshima mteua mbele ya Jamii aliyoapa kuisimamia kwa haki.