Kinachomuondoa Didier Gomez Da Rosa ni Mshahara mkubwa, siyo kipigo

Gomes alipewa malengo Kama kashindwa kuyatimiza aondoke ila kikubwa kilichochangia ni mahaba yake kwa wachezaji Kama Wawa na shabalala
 
Huyu ni miongoni mwa makocha wanaolipwa hela nyingi, si kocha wa bei rahisi, halipwi kama Kishingo. Ni kocha wa mshahara kama wa Uchebe.

Ikumbukwe kwamba MO halipi mshahara wa kocha wa Simba kutoka mfukoni mwake kama wengi wanavyodhani , alilipa kutokana na fungu ambalo Simba walikuwa wanapata kutoka kwenye michuano ya Club bingwa ya CAF, ukishindwa kuqualify kwenye makundi basi unafungashiwa virago, maana hela ya kukulipa iko kwenye hayo hayo makundi, hivi ndivyo alivyoondolewa Uchebe, baada ya kuondolewa kwenye mashindano kwa kushindwa kuingia kwenye makundi ikawa ngumu kuwa naye kwa vile hakuna wa kumlipa. Zile porojo zingine ulikuwa uzushi tu

Kuna mtu kutoka ndani ya bodi ya Simba alishanitonya kitambo kwamba ili Gomez aendelee kubaki ni lazima aendelee kuwemo kwenye makundi ya ligi ya mabingwa, maana ni kocha anayelipwa hela nyingi na MO hana uwezo wala moyo wa kutumia hela kutoka mfukoni mwake kulipa mshahara.

Itaendelea ...
Watanzania wengi hamna akili,maisha ya ujamaa yamewalemaza akili mpaka uwezo wa kufikili!! Yaani wengi mna akili za wagogo,akili zimegota kuwaza misaada tu,mtu akijitokeza miongoni mwenu mwenye akili kidogo anaitwa tapeli?

Unakuta jitu kama wewe una familia kabisa mke na watoto ni baba wa familia unategemewa,unasema MO ni mjanja mjanja ni tapeli hawezi kutoa ml 25,sasa kwa akili zako MO atoe mil 25 kila mwezi kumlipa mtu bure tu!!! Bila yeye kuingiza chochote!! Maisha ni hesabu MO ni mfanyabiashara msomi uyo anaijua hesabu vizuri sana,amelelewa na kukulia kwenye maisha ya hesabu na anaelewa hakuna kitu cha bure duniani,sasa nyinyi waswahili mlilemazwa na sera za baba wa taifa za kila kitu bure.

Ndio maana leo nchi imegeuka ombaomba kila mtu anataka apate mlo wa bure,machinga anataka afanye biashara bila kulipa kodi na serikali imgharamie kumsomeshea watoto wake bure na matibabu apate bure,viongozi wa kisiasa nao wanataka wapokee mishahala mikubwa na posho nzito bila kukatwa kodi yeyote na kila kitu wapewe kipaumbele wao,mfanyabiahara nae anataka afanye biashara apate faida kubwa alipe kodi kiduchu (kisoda) mkulima nae anataka mazao yake auze bila kulipa kodi,hapo hapo nae anataka watoto wake wasomeshwe bure na huduma za afya ziwe bure! Shabiki wa Simba na yanga nao wanataka wafadhili kama "wanavyowaita" wasajili wachezaji wazuri kwa gharama kubwa,walipe mishahara mizuri wachezaji wao mashabiki washangilie bure bila kuchangia chochote.

Wakitengenezewa mfumo wa kulipa wanasema mfadhili ni tapeli,wanataka ikibidi awanunulie na tishert na awape na tiketi bure,taifa la bure taifa la hovyo endeleeni kuomba na kutaka vitu za bure mtapewa sana ila mkija kushtuka madini,gasi na raslimali zote zimeshakombwa na hao mnaowatanulia mikono kuwaomba omba kila siku.
 
Duuh povu la hela yote.
Mambo ya ujamaa wa Tanzania unahusu nini sasa?
 
Tulishasema Mo Hana ela na Ni tapeli amewatapeli Simba tukatukanwa mwaka huu hakuna rangi ambayo hamtaona.
Maskini!! Ujamaa wa mzee mchonga ulileta balaa sana,yaani akili za watz wengi mnawaza vitu za bure tu,mmelemaa akili,hamuwazi kuwa dunia ya leo hakuna kitu cha bure,hakijitokeza mjanja mmoja anaejua hesabu vizuri mnamuita tapeli!!
Fungua ubongo huo wewe maskini!!MO ni muekezaji na maana ya muekezaji anawekeza sehemu ili atengeneze faida,au unafikili neno "uwekezaji" ni nyimbo ya singeli?! Mnaposikia uyo mwarabu wa Yemen anaetoa pesa zake hapo utopoloni kufadhili mchakato wa mabadiliko mara sijui kuwaleta la liga kama anavyowaambia,anafanya yote bila nyinyi kuchangia hata mia,mnafikili anawafanyia bure!!nyie ni wake zake? Au ni watoto wake! Funguka wewe nyani hakuna kitu cha bure anatengeneza mazingira ya kuvuna pesa uku wewe nyani ukimshangilia!!

Dunia imeshahama kwenye ujamaa wenye akili wanatengeneza pesa zitakazodumu vizazi hadi vizazi kupitia hivyo vitu unavyovipenda bila sababu,wewe utamlisisha mwanao mapenzi ya utopolo ila mtoto na mjukuu wa ghalib anaingiza pesa kupitia utopolo,

Hivyo hivyo kwa simba watoto na wajukuu wa ghulam wataingiza pesa nyie mtakalia kuwaita matapeli uku mkiwa uko mbali kwenye majukwaa ya mzunguko au kwenye vibanda umiza au kwenye simu zenu za tekno,wenzenu wanakula biriani Dubai,akili ya ujamaa ni hovyo kabisa.
 
Watanzania wengi hamna akili,maisha ya ujamaa yamewalemaza akili mpaka uwezo wa kufikili!! Yaani wengi mna akili za wagogo,akili zimegota kuwaza misaada tu,mtu akijitokeza miongoni mwenu mwenye akili kidogo anaitwa tapeli?

Unakuta jitu kama wewe una familia kabisa mke na watoto ni baba wa familia unategemewa,unasema MO ni mjanja mjanja ni tapeli hawezi kutoa ml 25,sasa kwa akili zako MO atoe mil 25 kila mwezi kumlipa mtu bure tu!!! Bila yeye kuingiza chochote!! Maisha ni hesabu MO ni mfanyabiashara msomi uyo anaijua hesabu vizuri sana,amelelewa na kukulia kwenye maisha ya hesabu na anaelewa hakuna kitu cha bure duniani,sasa nyinyi waswahili mlilemazwa na sera za baba wa taifa za kila kitu bure.

Ndio maana leo nchi imegeuka ombaomba kila mtu anataka apate mlo wa bure,machinga anataka afanye biashara bila kulipa kodi na serikali imgharamie kumsomeshea watoto wake bure na matibabu apate bure,viongozi wa kisiasa nao wanataka wapokee mishahala mikubwa na posho nzito bila kukatwa kodi yeyote na kila kitu wapewe kipaumbele wao,mfanyabiahara nae anataka afanye biashara apate faida kubwa alipe kodi kiduchu (kisoda) mkulima nae anataka mazao yake auze bila kulipa kodi,hapo hapo nae anataka watoto wake wasomeshwe bure na huduma za afya ziwe bure! Shabiki wa Simba na yanga nao wanataka wafadhili kama "wanavyowaita" wasajili wachezaji wazuri kwa gharama kubwa,walipe mishahara mizuri wachezaji wao mashabiki washangilie bure bila kuchangia chochote.

Wakitengenezewa mfumo wa kulipa wanasema mfadhili ni tapeli,wanataka ikibidi awanunulie na tishert na awape na tiketi bure,taifa la bure taifa la hovyo endeleeni kuomba na kutaka vitu za bure mtapewa sana ila mkija kushtuka madini,gasi na raslimali zote zimeshakombwa na hao mnaowatanulia mikono kuwaomba omba kila siku.
Sijaelewa lolote ! sijui unaelezea kitu gani ?
 
Uwezi kuelewa chochote, akili yako inawaza kukusanya michango kwenye mikutano ya chadema,na sasa mikutano imezuiwa lazima upagawe ndio uwezi kuelewa kabisaa
Nimecheka kwa dharau sana ! hata hujui jukwaa ulilopo !
 
Back
Top Bottom