Kinachonishangaza ni wewe badala ya kusema "kuajiriwa" wee umesema "kuajiliwa"Anza ku comment ukianza na neno "kinachonishangaza " naanza
Kinachonishangaza ajira zimeachiwa lakin walim bado hawajaajiliwa.
Ndio kinu cha uzazi na bob katuhimiza kufyatua watotoKinachonishangaza ni vijana humu JF kuchangamkia sana nyuzi zihusuzo ngono!