Kinachonisikitisha hotuba Imeisha lakini hajazungumzia UTEKAJI. Tujiandae kunyakuliwa kama kuku

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Wakuu,

Nilitegemea angekemea utekaji na kusema kwamba kwenye awamu yake ya pili hategemei kusikia wala kuona Watanzania wanatekwa.

Lakini hola!

Maana yake ni kwamba tutaendelea kutekwa na kile kikundi cha Watu Wasiojulikana wataendelea kutunyakua Watanzania.

Hii nchi imeoza to the core!
 
Si amesema mambo yapo mengi saaana mda hautoshiii atatafuta wasaa mwingine aendelee πŸ˜…πŸ˜…

Nahisi wakati unaangalia ulikuwa unaombea asigusie utekaji ili upate cha kuanzishia sredi πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…