Kinachoniuma kwa Feitoto ni sawa na mpenzi wako akubwage aende kwa mtu anayekuzidi kila kitu

Kinachoniuma kwa Feitoto ni sawa na mpenzi wako akubwage aende kwa mtu anayekuzidi kila kitu

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Kwa mwenye akili unamwambia hongera Sana. Unamtia na moyo na ikiwezekana Basi unajikausha Kama huoni vile.

Lkn wanachokifanya Yanga Ni sawa na kulalama tu. Mtu mmempeleka kula miwa Morogoro pre season kweli. Mmemtembeza kwa miguu wee. Muheshimuni

Sasa Yuko mamtoni anapata kila anachostalili. Anakula anafaidi.

Mtoto anakipaji mwacheni atawasaidia baadae.

 
Kwani ameenda timu gani huko Ulaya? Au Azam wamempeleka kuzubaisha?
 
Back
Top Bottom