mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
Kuwa Nominated sio kwamba unastahili ushindi, Naseeb katika 2 years hana kazi za kumshinda Burna, kachukua Grammy hivi unadhani ingekua rahisi kuacha BET ambao walisema.
"The award show is an ode to those who are often on the frontline in more ways than one"
Diamond hayupo
Frontline in more ways than one, tulikuwa tunawashangaa wanaharakati kwa kumpinga Diamond lakini BET wenyewe wameweka kipaumbele sana hicho kuwa mstari wa mbele kwa njia zaidi ya moja. Naseeb ukiachana na nyama ya ng'ombe anazogawaga iddy basi hayupogo kutetea wananchi tena.
Bongo kuna mziki wa kipuuzi sana, imagine mtu anaimba Sandakalawe.
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]