Kinachoniuma mimi ni baridi ya kule ndani ukumbini na Nguo za Kimasai

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,588
Reaction score
11,668
Kuwa Nominated sio kwamba unastahili ushindi, Naseeb katika 2 years hana kazi za kumshinda Burna, kachukua Grammy hivi unadhani ingekua rahisi kuacha BET ambao walisema.

"The award show is an ode to those who are often on the frontline in more ways than one"

Diamond hayupo

Frontline in more ways than one, tulikuwa tunawashangaa wanaharakati kwa kumpinga Diamond lakini BET wenyewe wameweka kipaumbele sana hicho kuwa mstari wa mbele kwa njia zaidi ya moja. Naseeb ukiachana na nyama ya ng'ombe anazogawaga iddy basi hayupogo kutetea wananchi tena.

Bongo kuna mziki wa kipuuzi sana, imagine mtu anaimba Sandakalawe.

[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Uzuri bado anajivunia tuzo ya kofia aliyotunukiwa na mwendazake kipindi cha kampeni...
 
Una maana ilikuwa mtihani mkubwa kuvaa vile kimasai kwenye AC?
 
Ila hicho kichwa cha habari[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kitu ambacho nasikitika ni wanaharakati kudhani Diamond hajashinda tuzo kwa nguvu yao. Eti Burnaboy kashinda kwa sababu yao. Kwenye kuwania walikuwa wengine pia, sasa utafikiri Domo pekee ndiye kakosa.

Bongo kuna vichekesho sana.🤣🤣😂😂
 
Wanatoa mimacho tu na Babu tale
 
When you FIGHT for THE PEOPLE and STAND for JUSTICE and FAIRNESS, the people JUSTLY FIGHT for you!

Thank you BETAwards!



Pia jiulize kwanini CCM wanamtumia diamond kwenye kampeni zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…