Kinachoniuma mimi ni baridi ya kule ndani ukumbini na Nguo za Kimasai

Hakuna aliyepewa umuhimu hapa...

Nikweli " Fanya mambo yako, acha kujipa umuhimu kwa watu wasiojua thamani yako kwako".
Ila... Ni uchawi na husda kumtakia mabaya mtu ambaye hajakufanyia mabaya.
Ishi maisha yako..
Ni kweli kabisa, ni mwenzetu. Lakini katika kutetea KWELI na HAKI ya walioteswa, kuuwawa, kupotezwa na kadhalika, hakuwa nasi kupaza sauti. Hakutumia nafasi yake kutetea HAKI nchini

Tunajua nyakati zilikuwa ngumu, ajitokeze hadharani aungame
 
Mabodyguard wapowapi??...diamond ni msanii maarufu siyo msanii mzuri over.
 
Angeshinda unasema wanaharakat wamefeli bt now "unataka" kujifanyisha wanaharakat hawana mchango kwenye anguko hilo though walitangaza vita since day uno na tukawa tunasubir tuone mwisho wake, to me wanaharakat wameshinda.
 
Hakuna walichoshinda ni wamefeli na wala usiandike hili kwa chuki. Kwanza mwanzo vita yao ilikuwa ni Domo atolewe kwenye kinyang'anyiro.
 
Hakuna walichoshinda ni wamefeli na wala usiandike hili kwa chuki. Kwanza mwanzo vita yao ilikuwa ni Domo atolewe kwenye kinyang'anyiro.
Shida mtu akiwa tofaut kimtazamo basi mnaita chuki huo ni upuuzi, hata lengo la kutaka atolewe kwenye kinyang'anyiro ilikuwa ni kuhakikisha hayapatikani matumaini ya yeye KUSHINDA kama ambavyo mashabiki wake mlivyokuwa na matumaini ya usgindi wake baada ya umefanikiwa kufika barani amerika, so hiki kilichomkuta ndio haswa wanaharakat tulitaka kimkute, tenantunashukuru kwa kupoteza nauli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…