Kinachosababisha mafuta kupanda ni huu utitiri wa kodi

Kinachosababisha mafuta kupanda ni huu utitiri wa kodi

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
BA992301-9AC6-40B6-BD51-CB8E37F6196D.png

Mtu mwenye Makato ya Zanzibar naomba utuwekee unaoni hapa tafadhali
 
wakati tunajilinganisha na USA wenzetu huko soko la hisa kubwa katika masoko 20 hapa duniani kwenye hisa limekufa rasmi
IMG_6647.jpg
 
Wanajamvi.
Jana na juzi kulikua na mjadala kwa nini mafuta ya kule zanzibar yako bei ile ile kwa lita na huku kwetu ni juu.
Jibu ni rahisi ,kodi zilizowekwa kwenye mafuta baada ya kufika hapa Nchini ndizo zimepandisha lita moja ya mafuta.
1 Litre of Petrol

1.Total cost CIF to Dar port 1,162
2. Wharfage 20.5
3. Railway devl levy 19.4
5. Customs processing fee 6.0
5. Weights & measures fee 5.6
6. TBS charge 10.0
7. TASAC fee 8.7
8. EWURA fee 9.0
9. Fuel making 16.0
10. Demurrage costs 8.0
11. Surveyors cost 8.00
12. Financial cost 17.0
13. Evaporation losses 6.5
14. Fuel levy 513.00
15. Excise duty 479.0
16. Petroleum fee 180.0
17. Oil marketing companies 163.0
18. Charges to executive agencies 6.0
19. Service levy to LGA 6.7
20. Retailers margin (profit) 210.5
21. Transport charges (local) 50.5

Total Levy 1,743.4
Plus TC 1,162

Total cost 2,905.4 @Wabunge wetu,huo mzigo wa 1,743.4 yote mlaji wa mwisho,Wananchi wenu wanakwenda kulipa kwa kila lita moja ya mafuta,yaani kodi ni kubwa kuliko bei halisi ya mafuta[emoji1787] Tanzania yaanguu..!
 
Halafu wamepiga kelele kwamba bei ya mafuta imepanda, wanasahau kwamba mitozo yote hiyo walipitisha wao.... Inasikisha sana. Wananchi wanaumia.
 
Wanajamvi.
Jana na juzi kulikua na mjadala kwa nini mafuta ya kule zanzibar yako bei ile ile kwa lita na huku kwetu ni juu.
Jibu ni rahisi ,kodi zilizowekwa kwenye mafuta baada ya kufika hapa Nchini ndizo zimepandisha lita moja ya mafuta.
1 Litre of Petrol

1.Total cost CIF to Dar port 1,162
2. Wharfage 20.5
3. Railway devl levy 19.4
5. Customs processing fee 6.0
5. Weights & measures fee 5.6
6. TBS charge 10.0
7. TASAC fee 8.7
8. EWURA fee 9.0
9. Fuel making 16.0
10. Demurrage costs 8.0
11. Surveyors cost 8.00
12. Financial cost 17.0
13. Evaporation losses 6.5
14. Fuel levy 513.00
15. Excise duty 479.0
16. Petroleum fee 180.0
17. Oil marketing companies 163.0
18. Charges to executive agencies 6.0
19. Service levy to LGA 6.7
20. Retailers margin (profit) 210.5
21. Transport charges (local) 50.5

Total Levy 1,743.4
Plus TC 1,162

Total cost 2,905.4 @Wabunge wetu,huo mzigo wa 1,743.4 yote mlaji wa mwisho,Wananchi wenu wanakwenda kulipa kwa kila lita moja ya mafuta,yaani kodi ni kubwa kuliko bei halisi ya mafuta[emoji1787] Tanzania yaanguu..!
Sasa Kwa lugha hyo iliyowekwa sijui EVAPORATION TAX LEVY mtu kama babu Tale anajua ata ni kitu gani!!! Daaaah tumepigwa parefu sana
 
Sasa pamoja na ukaidi wa binadamu, jueni kwamba muda wa Mwenye Dunia kuisafisha Dunia yake kama alivyofanya siku za Nuhu(gharika na safina) umefika.
Someni kitabu Cha 2Timotheo 3:1-5.
Inaanza kwa kusema: "Lakini mjue kwamba katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati ngumu kishughulika nazo. Kwa maana......
Na jambo hili ni Dunia nzima, si Tanzania pekee!! HIZI NI SIKU ZA MWISHO! Safari hii Atatumia nguvu za asili(matetemeko, radi, mvua za mawe, upepo mkali, vimbunga, nk)
Take it from me. It's not a joke!
 
Back
Top Bottom