Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Una uhakika ni Jeshi la polisi pekee?Kinachotakiwa sasa kuwekewa mkazo sio tu katiba mpya ni mifumo ya kiuchaguzi bali na jeshi jipya, haiwezekani leo hii jeshi linauwa raia wasio na hatia bila huruma alafu alichukuliwi hatua zozote za kisheria lazima kuwe na mabadiliko kwenye jeshi la polisi wasiwe M23.
Hilo limelamba asali ya walambaa asali biashara ndiyo imeishia hapo,watailinda asali na mizinga ya walamba asali.Kinachotakiwa sasa kuwekewa mkazo sio tu katiba mpya ni mifumo ya kiuchaguzi bali na jeshi jipya, haiwezekani leo hii jeshi linauwa raia wasio na hatia bila huruma alafu alichukuliwi hatua zozote za kisheria lazima kuwe na mabadiliko kwenye jeshi la polisi
Yaweza kuwa nguvu ya mwili ndiyo kigezo kikuuInashangaza kuona wahitimu wa vyuo wametapakaa mtaani, halafu wanaajiriwa watu walifeli form four! Matokeo yake ndiyo haya. Hawana akili ya kufikiria, isipokuwa nguvu tu.
Likuje tuu si kwa mambo yanayoendelea?Kuna Tsunami linakuja siku si nyingi